James alamba
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 216
- 106
Tuondoe tofauti za uchama wetu na siasi pia...Embu tuambizane ukweli ugumu wa maisha unasababishwa na nini?
Ilo swali wanatakiwa watujibu CCM kwani wao c ndo wameng'a ng'ania kutuongoza,Mwenyekiti wa chama tawala ndo wakujibu ilo swaliTuondoe tofauti za uchama wetu na siasi pia...Embu tuambizane ukweli ugumu wa maisha unasababishwa na nini?
Asante..nimekuelewa vizur bossUgumu wa maisha unasababishwa na uwezo mdogo wa kufikiri
Kama maisha magumu, achanan nayo fanya ishu zingine!!!!!
Kwan ccm ndio wanatuleteaga pesa majumbani au tunatafuta wenyeweIlo swali wanatakiwa watujibu CCM kwani wao c ndo wameng'a ng'ania kutuongoza,Mwenyekiti wa chama tawala ndo wakujibu ilo swali
Ugumu wa maisha umetokana na mazoea ya kuishi kwa kupiga deal badala ya kubajeti kipato chetu halali; kwa hiyo basi kwa sababu mfereji huo umekatwa, hicho kipato cha upigaji hakuna tunajikuta tunapata ugumu kuishi kwa bajeti ya vipato vyetu halali!Tuondoe tofauti za uchama wetu na siasi pia...Embu tuambizane ukweli ugumu wa maisha unasababishwa na nini?
AsanteUgumu wa maisha umetokana na mazoea ya kuishi kwa kupiga deal badala ya kubajeti kipato chetu halali; kwa hiyo basi kwa sababu mfereji huo umekatwa, hicho kipato cha upigaji hakuna tunajikuta tunapata ugumu kuishi kwa bajeti ya vipato vyetu halali!
Ni hali ya mpito tu lakini tufanye kazi na kujifunza kuishi ndani ya wigo wa vipato vyetu halali, zama za kupiga dili sio awamu hii.
Wakati bar zote zilijaaaaa town..Mimi nilisema ngoja sikukuu tu ipite, wataanza maisha magumu, nchi inakwenda gizani.
Kwa hiyo uwezo wa watanzania umepungua ghafla ndani ya mwaka mmoja?Ugumu wa maisha unasababishwa na uwezo mdogo wa kufikiri
Hata mm nashangaa iweje awamu hii tuKwa hiyo uwezo wa watanzania umepungua ghafla ndani ya mwaka mmoja?
Na kutowajibika na kujiona unastahili kufikiriwa na mtu mwingine zaidi yakoTuondoe tofauti za uchama wetu na siasi pia...Embu tuambizane ukweli ugumu wa maisha unasababishwa na nini?