Maths zipo za kutosha lakini zaidi lazima uwe na analytical brain, high problem solving skills, high imagination.
Kama ulizoea kusoma kwa kukariri acha mapema.
Kwenye computer science mainly ni
MATHEMATICS hasa CALCUS, ALGEBRA, DESECRETE MATHEMATICS,nk..
SYSTEM DESIGN, ANALYSIS AND TROUBLESHOOTING,
PROGRAMMING,
NETWORKING,
DATABASE ADMINISTRATION,
Yote yanawezekana ila jitahidi tafuta prospectus mapema pitia huoa courses utakazo soma katika Computer Science. Jitahidi uwe na computer hata ya laki 2 na elfu 80, ila kama una uwezo nunua computer yenye specifications nzuri. Anza kupitia you tube upate overview about the computer, how the data is input and stored, the architecture of the computer and its systems, OS na mambo madogo madogo. Utajikuta unaanza kuwa excited kabla hujaanza hata chuo lkn mziki wake unataka a committed person