Dada yulee....ni dada mzuri lkn hakutulia, kipindi kile.....alikuwa akipata mimba ye anatoa....leo anataka mtoto hapati mtoto anabaki kulia.....amesahau ya nyuma..anakesha kwa waganga...ndoa yataka vunjika...utavuna ulichopanda. By Ney wa Mitego
Miaka ya 90 katikati kuna filamu fupi iliyoitwa 'SILENT SCREAM' ilikuwa ya kutisha na kuzunisha mno, ilihusu utoaji mimba, ikionyesha wazi wazi mikasi, sindano na madawa vilivyokuwa vikiteketeza vichanga ni UUWAJI!!! wengi wameshiriki huu mchezo wa mauti hata humu jamvini wamo. wengi hawataki kuzaa mapema wanakula ujana kwanza lakini wakati huo huo hawatumii kinga, wakija kunasa wanakimbilia kutoa, unatoa mimba zaidi ya tatu inafika mahali unapata mume muanzishe familia unataka kuzaa inashindikana, unaanza kuhangaika na hospitali, kwenye maombi mpaka kwenye mitishamba, inagoma! usitafute mchawi wale uliowaua ndio ulikuwa uzazi wako, majuto ni mjukuu mshukuru Mungu, Mwambie mwenzako ukweli maisha yasonge mbele NB: WANAUME NI CHANZO CHA ABORTION NYINGI
Hapo mwisho sikubaliani na wewe wanaume sio chanzo , chanzo ni nyie kwani ndio mnajua tare he hatari, hata hivyo hatuombagi mtoto tunaomba papuchi tu. Unaposema kukupa raha ni 50 tshs hausemi including mtoto
asante kwa mashairi, kumbe nawe umo
ni ya Ney wa Mitego, Khantwe kanakili tu
Nimo ila sivumi wanavyma akina dayamondi tu
ni ya Ney wa Mitego, Khantwe kanakili tu
Wanaume wanakuwaje chanzo wakati mimba ipo tumboni kwa mwanamke?
Hivi wewe unaweza kulazimishwa kufanya usichokitaka?
Ntakuelewa ukisema makosa ni ya wote
Wengine ndio wanaishia kuiba watoto wa watu....
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Wewe nitake radhi kama hukukusudia mimi si mwanamke