sikutegemea ungeniacha vibaya hivi..acha huu mwaka uishe tu maana nimepoteza vingi vya thamani..hata wewe?anaumwa malaria
anaumwa malaria
namuombea sana kwa kweli nitamcall jioni jioni
kazi za watu bwana ila next week nipo huko nadhani hata trip ya tanga nitaanzia huko na ninyi bongo wazushi hawaafu ujue nlisema baada ya kutoka moshi uje arusha nkufanyie spraiz ukagoma