Ngozi Joram
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 659
- 543
Mm naishi tegeta nilienda pale Rabininsia memorial hospital. Ila kama kweli una ulcers we nunua heligo kit inauzwa kativya 35,000 hadi 42,000 7day doseHospitali gani ulienda mkuu na gharama zake zikoje? vidonda vinanitesa sana mkuu.
Asante sana mkuu. Hiyo Rubininsia hospital iko maeneo gani jijini? Nataka nije nikatoe ushuhuda humu jf maana vidonde vimenitesa tangu mwaka 2000 hadi leo.Mm naishi tegeta nilienda pale Rabininsia memorial hospital. Ila kama kweli una ulcers we nunua heligo kit inauzwa kativya 35,000 hadi 42,000 7day dose
Km 3 kutoka Tegeta kuelekea bunju, unaweza kushuka Kibo complexAsante sana mkuu. Hiyo Rubininsia hospital iko maeneo gani jijini? Nataka nije nikatoe ushuhuda humu jf maana vidonde vimenitesa tangu mwaka 2000 hadi leo.
Pamoja sana mkuu.Km 3 kutoka Tegeta kuelekea bunju, unaweza kushuka Kibo complex
Mkuu acha tu huu ugonjwa umenitesa sana, na umeniletea madhara mengine makubwa ukiacha tumbo lenyewe kuumaHii kitu ni changamoto sana, wapo watu wengi huwa wanasema kuwa wanaijua dawa lakini ukinunua na kuitumia tatizo bado linabaki palepale. Na wangi wao ni matepeli watupu.
Mkuu naomba nije pm pia niko mbeyaLuna majani yaitwa msongwa haya mm no shuhuda yamewaponya Rafiki zangu wawili.unatakiwa kuyatwanga na kuyaloweka kisha update maji Lita tatu uzitumie kwa Sikh tatu majibu in ndani ya siku saba.uyatoe tika kwenye ardhi yenye ubaridi huku mbeya tuliyatoa rungwe
Ndio hii niliyo pewa, mimi wamenipa dozi ya siku saba!!! Afadhali unanipa matumaini. Asante sanaMi nilitumia H pylori kit sijui ndio hiyo ama lah ila Niko poa.Ilikuwa ni dozi ya siku kumi na nne
Kama vp ifanye iwe siku kumi na nne kama Mimi.Umetumia siku ngapi hadi saiviNdio hii niliyo pewa, mimi wamenipa dozi ya siku saba!!! Afadhali unanipa matumaini. Asante sana
Siku ya pili mkuuKama vp ifanye iwe siku kumi na nne kama Mimi.Umetumia siku ngapi hadi saivi