Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

jaman samahanin , kwa kuchanganya maada ... Mm pind nikiwa kwenye game na mwenzang naweza tumia ad dk ata 50 au lisaa lizima sijakojoa na ad nkija kukojoa bas mwenzang huwa atak tena kuendelea anakuwa kachoka sanaa asa mm naboreka na hii hal kilasku naishia kigol kimoja nifanyeje ikate... Nlikua napenda kulamba asal kilasku na kukimbia sana uwanjan kilasku lakn nimeacha vyote lakn hal bado yaendelea... Mwenzang anazanig namkomoa na cku nyngne anachukiga ad tunaishiaga kati bila mm kukojoa na huwa analalamikaga anaumiaga sana chn ya tumbo ... #MSAADA PLEASE#

Human growth hormone(HGH)is the master of the body's activities such as cell growth, metabolism and reproductive processes. As we age hormone production decreases leading to lack of vitality,wrinkled skin,poor memory and weakened immunity.for this reason we recommend Bio-Elixir.
 
ungeweka ha details watu wakajua, vinginevyo ni utapeli unataka kufanya....
sio utapeli hata mimi ameshtumia hiyo dawa nimepona nanilikua sili vyakula kibao sasa hivi nakula everything nanimepona kabisa namichukua kwaajili yakuwapatia wengine wenye kuangaika Kama mimi nilivyokuwa naangaika ni dawa yaukweli Jamani mnapona wenye ulcers msikubali kuteseka mwishowe uje kuwa na kansa ufe wakati dawa ipo na bei yake sio ghali na kupona mtu anapona sio sawa na makanjanja unatoa mamilioni na kupona huponi
 
Mi nlitumia unga wa ndizi mshare baada ya kukaushwa na kupondwa kama unga wa muhogo unavyotengenezwa then unakunywa kwa kuchangan ya kijiko kimoja cha chakula na maziwa fresh glass moja kutwa Mara 3 nlitumia kama mwezi ivi now nna miaka 2 havinisumbui.
 
kuna ndugu yangu amekuwa akisumbuliwa na vidonda vya tumbo..... kwa muda sasa.... so kwa yeyote ambaye yuko aware na dawa nzuriii ya dukani ambayo itamsaidia ningefurahii sana kama mkinipa jina la dawa husika.. natanguliza shukrani zangu.....
 
Sifanyi biashara wala silaghai binadam mwenzangu yeyote,mwenye haja kweli ya kupona vidonda vya tumbo aniPM,sitaki hela yako,tumia dawa dozi ya kwanza kapime maendeleo yake,kisha unatumia ya pili,ukienda kupima utatoa majibu mwenyewe,kisha utanipatia kile utakachoweza.Ukifanya masikhara shauri yako.Mwenye kuhitaji
 
Back
Top Bottom