Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

na mimi nina hiyo shida,lakini kuna dawa ya kienyeji nilipewa imenisaidia sana tofauti na nilivyokuwa nikitumia dawa za hosptln.
Hiyo dawa nilipewa na msabato jirani angu
 
Dawa ya vidonda ni kupunguza mawazo / stress.
Ukilala kunywa dawa ya kuleta usingizi kama vile Piriton, koflyin au pombe kali nusu glass. Ukilala unalala fofofo na wala hutosikia tumbo likikuuma.
 
Badilisha diet ya uchafu unaoingia tumboni.....acha mavyakula yenye Acid tumboni mwako punguza kula damu (nyama) kula matunda kwa sana na mboga mboga ndio kiwe chakula chako. Na unywe maji mengi sana.
Acha na masoda ya gesi au energy drinks.
CHAKULA CHAKO NDIO UGONJWA WAKO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unataka kufanya endoscopy... inatisha na kuogopesa sana..!! sasa basi jitahidi kuacha vyakula vyote ulivyoshauriwa kisha ule sana maparachichi na kabage.. pia kunywa maji ya moto..

wewe fanya kuitibi kiu yako na maji ya moto.. utapona kabs.. anza sasa leo jioni usilale bila maji ya moto kuwa kinywaji chako cha mwisho.
 
Mimi nilitumia laki nne hospital..baadae Sana nikagundua nilifanya upuuzi..maana sikupata tiba hospital..wewe epuka vyakula ulivyokatazwa..tumia asali Sana..na ile dawa ya vidonda ipo Kama maziwa..la muhimu kuliko yote Ni Kula chakula kwa wakati..asubuhi Kula au kunywa chai na vitafunwa mchana kula na usiku kula hata Kama huna njaa..ukisikia maumivu tumia frajilini (nimeandika inavyotamkwa)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia majani ya mlonge unayasaga mabichi unakunywa wiki moja tu utarudisha mrejesho hapa

Hii inaelekea kuwa historia kwangu

Ntaandika mada siku nikiwa nimetulia

Miti ni dawa wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fuata ushauri kupitia hii post. Hosp waweza kuandikiwa Heligo kit, ina dawa zenye combination nzuri. Ukifuata masharti yake utapona kabisa!

Kikubwa angalia namna yako ya ulaji. Epuka vyakula vyenye maasidi. Utapona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa navyo jua vidonda vya tumba havina dawa.... badilisha aina ya lifestyle yako... mimi nilikua napata shida sana mwanzoni lakini saivi niko safi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
awali ya yote nikupe pole sana
Mkuu maradhi mengi ya kiafya yanaletwa na ulaji wetwa zaidi ya 90% kama ndivyo pia dawa yake ipo huko huko kwenye vyakula, unaweza tumia dawa za hospitali na mitishamba ila utapata nafuu baada ya muda utaona hali ni ile ile na ukijaribu kufuatiia wengi wenye vidonda vya tumbo hakuna aliyewahi kupona angalao mwaka mzima hajalalamika vidonda vya tumbo hata wale wanaotumia dawa za asili
Sababu ni kuwa watu hawajajua chanzo cha magonjwa na hatakama wakitumia hizodawa bado mwilini wanarudisha sumu ile ile ambayo inawaangamiza,
Ushauri wangu kwako achana na vyakula vyote vya wanga na sukari maanda ndivyo chimbuko la maradhi mengi ya mwili, nafahamu utaniuliza sasa ule niniii? utapataje nguvu? utawezaje kumudu gharama za vyakula vingineee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…