MrPhilosopher Kanju
Member
- Aug 26, 2017
- 63
- 66
Ndio walisema ni ya muda mfupi akapatiwa dawa lakini imeanza kumsumbua tena baada ya kipindi kirefu kupita.Hospital mmeenda?
Nashukuru sana mkuu kwa ushauri wako asante sana.Poleni sana, Huo ugonjwa unatesa sana. Kwa sasa jitahidi kufanya haya ni Masada Mkubwa.
Msimpe KARANGA au chochote chenye KARANGA.
Msitumie DAWA ZA MBUU ZA KUPULIZA AU ZA KUCHOMA. Ni HATARI SANA.
Hayo Machache na Allah awafanyie wepesi InshaAllah.
Mazingira anayoishi mtoto mnalinda na kutopatwa na hali ya pneumonia?Ndio walisema ni ya muda mfupi akapatiwa dawa lakini imeanza kumsumbua tena baada ya kipindi kirefu kupita.
Tunajitahidi mkuu.Mazingira anayoishi mtoto mnalinda na kutopatwa na hali ya pneumonia?
Je, mnampa vyakula kwaajiri ya kumsaidia kupambana na hiyo hali isimpete kwa kinga yake ya mwili kuwa imara?!
Hivi ni nimonia au pneumonia (ukitamka nyumonia)Wakuu poleni majukumu.
Wakuu naombeni msaada kwenye jambo hili kwa wataalumu wa magonjwa hususani kwa watoto.
Naombeni kufahamu kwamba Je NIMONIA ina tiba?
Kama tiba ipo je mtoto wa mwaka mmoja atapewa tiba gani na Dawa zipi ambazo zina uwezo wa kumuondolea ugonjwa wa NIMONIA unao msumbua?.
Na kama zipo dawa zinazotibu ugonjwa huo ni zipi
Nitashukuru sana kupata majibu kutoka kwenu wataalam.
Nashukuru sana kwa ushauri wako mkuu wangu.Nanukuu: "Naombeni kufahamu kwamba Je NIMONIA ina tiba?"
Jibu ni:- Ndiyo. NIMONIA (Pneumonia) inatibika kabisa Hospitali. Cha msingi ni kujihakikishia kama kweli ni Nimonia au ni Mzio(Allergy). Rudi tena Hospitali na uwaombe wafanye vipimo au nenda maabara binafsi(Private) mtoto afanyiwe vipimo kuthibitisha kama ni kweli ana NIMONIA au ni mzio( allergy) au ni dalili za pumu(Asthma). Poleni sana - Mungu awajalie wepesi tatizo hilo lipate ufumbuzi mapema iwezekanavyo.
moja ya OIs inayobamba sana kupukutisha wenye ngoma
Ndio hiyo limoniaHivi ni nimonia au pneumonia (ukitamka nyumonia)
Wengune nasikiaga wanaita limonia.
Duhh kumbemoja ya OIs inayobamba sana kupukutisha wenye ngoma
Mkuu; Ni matamshi tuu lakini kimatibabu ni Pneumonia.Hivi ni nimonia au pneumonia (ukitamka nyumonia)
Wengune nasikiaga wanaita limonia.
Nimejaribu kucheki nimeona kwa kiswahili pneumonia ndio inaitwa nimonia.Mkuu; Ni matamshi tuu lakini kimatibabu ni Pneumonia.
Hongera.Ni Ugonjwa wa mapafu na njia ya kupukulia complicated kidogo unaosababishwa na Bacteria pseudomonas aureginosa ,strptococcus pneumoniae n.k. lakini pia vipo vitu vingine vinavyoweza kusababisha dalili kama za pneumonia e.g. perfumes, vumbi, vyakula fulani au vinywaji ikiwa ni pamoja na aina ya mazingira n.k. n.k.Nimejaribu kucheki nimeona kwa kiswahili pneumonia ndio inaitwa nimonia.
Shukrani mkuu, je mzingira ya baridi yanaweza kumsababishia mtu huu ugonjwa?Hongera.Ni Ugonjwa wa mapafu na njia ya kupukulia complicated kidogo unaosababishwa na Bacteria pseudomonas aureginosa ,strptococcus pneumoniae n.k. lakini pia vipo vitu vingine vinavyoweza kusababisha dalili kama za pneumonia e.g. perfumes, vumbi, vyakula fulani au vinywaji ikiwa ni pamoja na aina ya mazingira n.k. n.k.
Endelea kujifunza .
Sio kivile ila mazingira ya baridi yanachangia sana kuwepo kwa ugonjwa huo hususan kama hakuna tahadhari inayochukuliwa e.g. huvai nguo nzito kukinga baridi, hauli vyakula vyenye kuutia mwili joto au unajiachia kupigwa na baridi e.g. kuendesha pikipiki bila mavazi maalum n.k. na zaidi kama mwili wako tayari ni dhaifu au kuna ugonjwa mwingine unaoshambulia mwili.Shukrani mkuu, je mzingira ya baridi yanaweza kumsababishia mtu huu ugonjwa?