MrPhilosopher Kanju
Member
- Aug 26, 2017
- 63
- 66
- Thread starter
- #21
Asante sana kwa ushauriNenda hospitali ya Burhan kule posta dsm watakusaidia utapona
Kuna ndugu yangu alikua anaumwa kila hospitali wanaambiwa ni allergy hasa hizi local hospital wanatibu kimazoea sana
Nenda Burhaan au Hindu Mandal watachukua vipimo mpaka Xray then utapewa dawa utapona
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app