Ugonjwa wa mlipuko (vipere vinawasha hatari)

Ndugu nimesoma maelezo ya iyo thread ulontumia pa1 na pcha yan kla ktu twaendana,!!! Na kbaya zaidi mm mpaka sasa cjapata tiba japo nimehangaikia sana!!! Nshameza dawa za minyoo, allergy,

fungus na kuchoma had cndano ya power safe lakin cjapata matokeo!! Sijui kiongoz kwa upande wako km umepata dawa au la?!!!
Kaka yote hayo nishafanyiwa ila tatizo lipo pale pale
 
Huu ugonjwa ni corona ya ngozi nimeugua na bado nateseka nao pia nimeshuhudia wengine watano wameugua ni rashes Fulani hivi
 
Nilipata hivyo vipele mwezi uliopita, vilikua vinawashaaa na vinauma balaa. Nilitumia Centrizine vikakauka ila hayo mateso yake sitasahau.
Na rafiki yangu nae aliugua hadi akaenda kuchoma sindano ndio vikapoa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom