Bob Rhynoh
Member
- Nov 17, 2015
- 15
- 2
- Thread starter
- #21
Toeni taarifa WHO.
WHO mbna mbali sana,! Pengne dr. Wa apa Tz wanaona kpi knaendelea, ingependeza km wangelishughulkia kabla ya WHO!!!!
Toeni taarifa WHO.
Hawa madokta wetu covid tu hawaioni.WHO mbna mbali sana,! Pengne dr. Wa apa Tz wanaona kpi knaendelea, ingependeza km wangelishughulkia kabla ya WHO!!!!
Hawa madokta wetu covid tu hawaioni.
Tafuta mmea wa alovera jipakaze maji yake vitakauka vyenyewe
Nilishafanya hivyo ila haikusaidiaTafuta mmea wa alovera jipakaze maji yake vitakauka vyenyewe
Kaka yote hayo nishafanyiwa ila tatizo lipo pale paleNdugu nimesoma maelezo ya iyo thread ulontumia pa1 na pcha yan kla ktu twaendana,!!! Na kbaya zaidi mm mpaka sasa cjapata tiba japo nimehangaikia sana!!! Nshameza dawa za minyoo, allergy,
fungus na kuchoma had cndano ya power safe lakin cjapata matokeo!! Sijui kiongoz kwa upande wako km umepata dawa au la?!!!
Huu ugonjwa ni corona ya ngozi nimeugua na bado nateseka nao pia nimeshuhudia wengine watano wameugua ni rashes Fulani hivi
Kaka yote hayo nishafanyiwa ila tatizo lipo pale pale
Hata maduka ya kawaida ya asili sidhani kama wanayo,wewe nenda kwenye maduka wanayouza mafuta ya kupaka mwilini ulizia parachute coconut oilCndo ayo yanapatkana kwa dawa za asili au wazungumzia mengne?!!!
Vp kaka imekusaidiaTumia dawa ya kuasili inaitwa kiberiti upele unachanganya na mafuta ya nazi!!!
Hakuna mi . wenyewe ninao nimemeza citrizen ya kukausha lakin pia nimepaka mualovela lakin Bado aliyepona aniambie dawa yake jaman natesekaTafuta mmea wa alovera jipakaze maji yake vitakauka vyenyewe
Nenda kadake (BBE) ni dawa ya kupaka ipo kwny kichupa , ndani ya wiki moja utakua ushaponaHakuna mi . wenyewe ninao nimemeza citrizen ya kukausha lakin pia nimepaka mualovela lakin Bado aliyepona aniambie dawa yake jaman nateseka
Haisaidii kakaNenda kadake (BBE) ni dawa ya kupaka ipo kwny kichupa , ndani ya wiki moja utakua ushapona
Asante Sana ndugu yanguNenda kadake (BBE) ni dawa ya kupaka ipo kwny kichupa , ndani ya wiki moja utakua ushapona
Duuuuuu nashindwa kuelewa ni ugojwa gani huoNilipata hivyo vipele mwezi uliopita, vilikua vinawashaaa na vinauma balaa. Nilitumia Centrizine vikakauka ila hayo mateso yake sitasahau.
Na rafiki yangu nae aliugua hadi akaenda kuchoma sindano ndio vikapoa
Kwakweli nashindwa kuelewa, ila rafiki yangu hospital aliambiwa ana infection kwenye damu. Tena yeye vilimtokea hadi usoni vingiiiDuuuuuu nashindwa kuelewa ni ugojwa gani huo