Ugonjwa wa mlipuko (vipere vinawasha hatari)

Bob Rhynoh

Member
Nov 17, 2015
15
2
Habari za umu wakuu,

Tafadhar naombeni msaada,!

Kuna ugonjwa umeibuka yasemekana ni wa mlipuko, unatoka vipere vingi sehem mbalimabali za mwili mpaka sehemu za siri na vinawasha hasa, tena ukivikuna wasikia raha!

Nimejaribu dawa za hospital za kila namna, fungus, allergy, minyoo, za kupaka mpaka cndano lakin bila mafanikio!!! Kiukwel nateseka sana!

Nimepima STD lakin ni negative! Msaada ndugu zangu kwa anaejua dawa inayoweza nisaidia tafadhari! Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Maelezo hayatoshi kujua tatizo lako likoje na linaweza kutibiwa kwa dawa gani.

Kimsingi ili ujue dawa ya kutibu tatizo ni lazima uwe unajua nature ya ugonjwa, appearance ya vipere, relief & aggreviating factor za hvo vipele. Vimeanzaje na kama na vinaambukizwaje pia na mambo mengi kama hayo. Lakini vinginevyo utapaka cream zote utakula vidonge vyote na hata sindano unaweza kuchoma bila relief.

Kutumia madawa bila kujua tatizo pia kunapelekea kutengeneza usugu wa madawa (drug resistance), hivyo inatfika wakati utatumia dawa na zisisaidie kwa sababu ya resistance.

Hivyo mi ningeshauri kuwaona wataalamu wa ngozi (dermatologists) waone na washauri hata kutibu tatizo lako. Humu utaambiwa unywe hadi vitu visivyonyweka.
 
Maelezo hayatoshi kujua tatizo lako likoje na linaweza kutibiwa kwa dawa gani.

Kimsingi ili ujue dawa ya kutibu tatizo ni lazima uwe unajua nature ya ugonjwa, appearance ya vipere, relief & aggreviating factor za hvo vipele. Vimeanzaje na kama na vinaambukizwaje pia na mambo mengi kama hayo. Lakini vinginevyo utapaka cream zote utakula vidonge vyote na hata sindano unaweza kuchoma bila relief...

Asante sana mkuu kwa ushauri wako, ila nilipma pia km umesoma vzur maelezo yangu apo juu lakin majibu yakawa negativr,!

So far so gud nimekutana na watu tofaut wenye tatzo kam langu na wengn kunpa matumaini niende pahala flan ntapata tiba lakin hola!

Ila kwa sasa nimapata dawa ya kiSUNNI mana alonpa kasema alkua na tatzo km langu na akahangaika sana hosptl bila mafanikio,!! Npo ndo nimeanza leo asubhi kuipaka nione km itanisaidia,!!! NB: ni yakupaka,!
 
Boss namm nina tatizo kama lako naomba jina la hiyo dawa uliyopata please
 
Ugonjwa huo ni surua. wengine tulipewa taadhari kabla haujafika...muwe makini na watoto wenu....
 
Mimi unanisumbua Sana mwil unachemka vinatokeza Kama michilizi baada ya dakika kadhaa inapotea dawa za kupaka azisaidii yani anaejua dawa tafadhari
 
Mimi unanisumbua Sana mwil unachemka vinatokeza Kama michilizi baada ya dakika kadhaa inapotea dawa za kupaka azisaidii yani anaejua dawa tafadhari

Pole sana mkuu, yan tatzo lenyewe bado cjalitatua cjui ww kwa upande wako,?!
 
Tafuta mafuta ya nazi aina ya parachute ,baada ya siku tatu njoo ulete mrejesho, bei yake haizidi elfu 3🤔
 
Bado ndo maana Niko apa

Kwa sasa natumia dawa za asili (KISUNA), mafuta ya nazi yalochanganywa na dawa ya unga inaitwa kiberiti upele,! Ndo nakomaaa nayo,! Inaonyesha dalili za kupona japo ata kuna dawa za hosptl nazo mwanzon akat natumia zilionyesha dalili za kuponyesha but ikawa blabla!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom