pangakali 2
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 239
- 221
Nawasalim ktk jina la jamuhuri.
Binafsi nimekua na tatizo la kupatwa madonda ya kooni (tonsels) kwa muda mrefu sasa na hutokea pale ninapotumia vinywaji baridi wakati mwingine hunipelekesha hadi kupatwa homa.
Haijaishia kwangu, wanangu pia imekua changamoto sana wakinywa vitu vya baridi madonda koo huwapelekesha kiasi cha kupatwa homa Kali. Juhudi nilizo zifanya kwanza nimekua nikiwapeleka hospital mara kwa mara kwa tatzo moja.
Leo nimepata ushauri kutoka kwa daktari kwamba ni vyema wafanyiwe opereshen ili yaondelewe moja kwa moja.
Naomba kujua faida na hasara au kuna madhara gani huweza kuwapata mara baada ya hiyo opereshen na je inafaa kwa watu wazima pia na nini athari zake?
Mwenye uzoefu ushauri karibu.