Ugonjwa wa kutapika

Chimps

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
559
356
Habari JF Doctors,

Naomba kujuzwa kwenye hili.
Kuna ndugu yangu amepatwa na ugonjwa wa maajabu. Kichefuchefu, yaani kila anachokula kinamletea kichefuchefu anatapika.
Tumefanya vipimo vyote, pamoja na mimba ni -ve. Hana maumivu yoyote yale mwilini mwake. Matokeo yake hali chochote, anakonda kila kukicha. Akibahatika anakunywa kikombe kimoja tu cha uji.
Sasa tumechanganyikiwa hatujui la kufanya. Je kuna Doctor yeyote alishawahi kutana na tukio kama hili.

Asanteni
 
Kiuhalisia kutapika ni dalili ambayo inaweza kujitokeza katika magonjwa mengi na huwez kusema ANA UGONJWA WA KUTAPIKA

Alipopelekwa hospitali ni investigation ama alipimwa vitu gan hasa
 
Alichukuliwa damu kubwa wakapima Maleria, Typhoid, VVU etc etc. Pia alichukuliwa mkojo pia kwa kipimo cha mimba.

So vipimo vyote ni -ve.
 
Back
Top Bottom