UGONJWA WA DENGUO

UGONJWA WA DENGUO

SEMKIWA3

Senior Member
Joined
Feb 17, 2019
Posts
103
Reaction score
59
Habari zenu wanaJF.

Niende moja kwa moja kwenye mada,ugonjwa wa denguo ni ugonjwa ambao umekuwa tishio sana kwa sasa hapa nchini hususani maeneo ya Dar es salaam na Tanga.

Ugonjwa huu ulikuwepo tangu awali lakini kwa sasa umekuja kwa kasi mpya zaidi kiasi cha kuenea hadi mikoani,kama ambavyo awali tulifahamu kuwa ugonjwa huu ulikuwepo sana ndani ya jiji la Dar es salaam lakini sasa umeanza kuenea mikoani hasa mikoa ya jirani na tanga.

Chini nitaweza attachments za picha zikionyesha taarifa sahihi kuhusu ugonjwa huu wa denguo.

Mimi kama mwanafunzi wa chuo kikuu kishiriki cha elimu cha Dar es salaam yaani DUCE janga hili la gonjwa la denguo limeniathiri sana mimi pamoja na wenzangu tuliopo hapa chuoni.

Wiki iliyopita marafiki zangu kama sita wote walipatwa na ugonjwa huu hadi kupelekea kulazwa katika hospitali za Baracks na Kairuki Victoria,licha ya wote hawa kuumwa na kulazwa kila mara,siku ya jana tumempoteza mwanafunzi mwenzetu wa kike aliyekuwa anasoma mwaka wa pili,kiukweli hili ni pigo kubwa sana kwetu.Sisi kama wanafunzi wa chuo kikuu hili jambo kweli limetufika licha ya kuwa tupo makini sana kupambana nalo lakini ni hatari zaidi.

Chini hapa pia nitaweka attachment ya kitambulisho cha mwanafunzi huyu anayeitwa MARRY KISAKA ili tumfahamu sote wanaJF.

R.I.P dear Marry Kisaka,wengi tulikupenda ila mungu alikupenda daima.
GBWA-20190513124915.jpeg
GBWA-20190513124846.jpeg
GBWA-20190511213252.jpeg
IMG-20190512-WA0063.jpeg
IMG-20190512-WA0061.jpeg
GBWA-20190512164614.jpeg
 
Habari zenu wanaJF.

Niende moja kwa moja kwenye mada,ugonjwa wa denguo ni ugonjwa ambao umekuwa tishio sana kwa sasa hapa nchini hususani maeneo ya Dar es salaam na Tanga.

Ugonjwa huu ulikuwepo tangu awali lakini kwa sasa umekuja kwa kasi mpya zaidi kiasi cha kuenea hadi mikoani,kama ambavyo awali tulifahamu kuwa ugonjwa huu ulikuwepo sana ndani ya jiji la Dar es salaam lakini sasa umeanza kuenea mikoani hasa mikoa ya jirani na tanga.

Chini nitaweza attachments za picha zikionyesha taarifa sahihi kuhusu ugonjwa huu wa denguo.

Mimi kama mwanafunzi wa chuo kikuu kishiriki cha elimu cha Dar es salaam yaani DUCE janga hili la gonjwa la denguo limeniathiri sana mimi pamoja na wenzangu tuliopo hapa chuoni.

Wiki iliyopita marafiki zangu kama sita wote walipatwa na ugonjwa huu hadi kupelekea kulazwa katika hospitali za Baracks na Kairuki Victoria,licha ya wote hawa kuumwa na kulazwa kila mara,siku ya jana tumempoteza mwanafunzi mwenzetu wa kike aliyekuwa anasoma mwaka wa pili,kiukweli hili ni pigo kubwa sana kwetu.Sisi kama wanafunzi wa chuo kikuu hili jambo kweli limetufika licha ya kuwa tupo makini sana kupambana nalo lakini ni hatari zaidi.

Chini hapa pia nitaweka attachment ya kitambulisho cha mwanafunzi huyu anayeitwa MARRY KISAKA ili tumfahamu sote wanaJF.

R.I.P dear Marry Kisaka,wengi tulikupenda ila mungu alikupenda daima.View attachment 1095926View attachment 1095927View attachment 1095928View attachment 1095929View attachment 1095930View attachment 1095931

GBWA-20190513131529.jpeg
GBWA-20190513131458.jpeg
GBWA-20190513131455.jpeg
GBWA-20190513131418.jpeg
GBWA-20190513131436.jpeg
GBWA-20190513131413.jpeg
 
Kwahyo baada ya kuwa wadau wanaomba pcha ndio umeamua kutupia pcha zotenza marehemu?

Ila poleni sana mkuu
 
Aiseee hii homa inatisha kweli, wiki kama tatu zilizopita tu dada wangu wa kazi aliukwaa huu ugonjwa nashukuru mungu kapona.

Lakini huyu Marry mbona kama alikuwa na maradhi mengine ukimtizama vizuri ngozi yake na hata afya yake (Sijasema ukimwi)
 
Daktary wa kupima kwa macho.....

R. I. Please merry
 
Sijaona haja ya picha zote hizo

Yani umeweka mapicha meeeeengi hadi ya kitambulisho chake kama unatangaza mtu aliyepotea,kwamba atakayemuona awasiliane na wewe

Pumzika kwa amani Marry
 
Yule mkurugenzi wa taasisi ya utafiti wa kitabibu (afya) ya taifa (National Institute of Medical Research - NIMR) Malecela, alitimuliwa kwa taarifa yake juu ya ugonjwa gani, sio huu?
 
Masikini Marry umeondoka na utamu wako.

Hajaacha papuchi yake? Ila haukuwa ustaarabu kutuma mipicha yote hii ya marehemu hadi kitambulisho chake.

Tukue na kuongezeka imani
 
Back
Top Bottom