Ugonjwa wa Chembe ya Moyo nchi za Ulaya pia upo?

peterbundalla

Member
Dec 30, 2018
9
45
Kuna ugonjwa wa chemba moyo, ndugu yangu ameugua huo ugonjwa tiba yake ni ya asili.

Hivi huu ugonjwa wa chemba moyo na nchi za ulaya upo kwel?
 

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
1,097
2,000
Hamna ugonjwa kama huo .hizo ni dalili za vidonda vya tumbo mkuu,viwahi kabla yatizo halijawa kubwa boss .
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom