M msugu pwigite Member Joined Aug 1, 2016 Posts 54 Reaction score 36 Oct 31, 2017 #1 Wakuu naombeni mnisaidie huu ni ugonjwa gani maana unasumbua sana hasa vifaranga, nipeni mawazo ya sawa gani itawatibu?
Wakuu naombeni mnisaidie huu ni ugonjwa gani maana unasumbua sana hasa vifaranga, nipeni mawazo ya sawa gani itawatibu?
M msugu pwigite Member Joined Aug 1, 2016 Posts 54 Reaction score 36 Oct 31, 2017 Thread starter #2 Nimejaribu kuweka picha imekataa naomba msaada
haruny Member Joined Oct 9, 2017 Posts 88 Reaction score 59 Oct 31, 2017 #4 Banda lenyewe Rafiki angu sio safi na niupi ule wa macho au shingo? Maana wachunguze ktk macho kuna kitu cheupe ukimpanua jicho xo niweke wazi kwa msaada Zaidi
Banda lenyewe Rafiki angu sio safi na niupi ule wa macho au shingo? Maana wachunguze ktk macho kuna kitu cheupe ukimpanua jicho xo niweke wazi kwa msaada Zaidi
theriogenology JF-Expert Member Joined Oct 7, 2016 Posts 8,748 Reaction score 15,731 Oct 31, 2017 #5 wana dalili gani mkuu.... embu nieleze hapa naweza kukusaidia