Ugomvi wa Kidini ndani ya Chadema

huyu jamaa kwa kweli ni **** ajabu! Sijui kaolewa wapi maanake inabidi awe anapatiwa double barrel penetration asubuhi na jioni ndo atatia akili na kutulizana

Anti hicho ndio kilaji chako nini? Mapenzi ya kitu hayamfichi mtu!
 

2015 lazima tuwape ushindi CDM kwa umakini wao na Demokrasia itakayoondowa utawala wa sheria hapa Tanzania, ili tuweze kuandamana kwenda kwa DK kulalamika hata tunaponyimwa haki zetu na wenza wetu majumbani.
 


Inaonyesha huwa unaingia hapa ukumbini pale kamgao wa umeme na luku inapokuruhusu! Mbona hili la udini hapa ndio issu ya kila siku hasa pale JK anapomchagua mtu mwenye jina la Kiislamu kwenye nafasi Serikalini? Udini kwetu JF ni issu ya Muislamu na kwa vile Waislamu ni sehemu ya Jamii basi udini hapa hauwishi.
Kuhusu Mapambano sawa lakini wanaoweza mapambano tunawasikia kuanzia Arizona hadi Pakistani. Wao hujuwa vitendo sio maneno kama wewe,hebu tafuta muhogo ulale na uache tuendelee na furaha yetu!
 
Naomba uwe mkweli na kuwalaani watu wa namna hii kila siku bila kujali habari imehusiana na CHADEMA au CCM kwani mwisho wa siku tunaishi sote kwenye nchi moja. Lengo langu ni kuwa tuache unafiki wa kukataa udini eti habari imeelekezwa kwa Chama fulani tunachoshabikia.
Nakumbuka niilanzisha thread ya kulaumu fitina za udini zilizoelekezwa kwa CCM na dini ya Kiislamu ikapotea KiJF JF na kuanzishwa nyengine ya issu hiyo hiyo na Washabiki wa CHADEMA wakaichangamkia. Nachukia unafiki wa wanaJF wengi humu, na naamini wewe hutokuwa mmoja.
 
Kwa mujibu wa habarti za uhakika kuto Mkoani Iringa, ndani ya Chadema mkoa wa Iringa, kuna ugomvi wa kidini umezuka baina ya mwanachma mmoja kwa jina Abuu na Mbunge ambae ni Kiongozi wa kanisa.

Haya jamani, ikiwa ndani ya chama ni hivyo! Jee nje?


ya ngosweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee??
Naona stori za leo Bar kwenu mmechakachua kidogo.. mnakunywa konyagi nini kavukavu??
 
Kwa mujibu wa habarti za uhakika kuto Mkoani Iringa, ndani ya Chadema mkoa wa Iringa, kuna ugomvi wa kidini umezuka baina ya mwanachma mmoja kwa jina Abuu na Mbunge ambae ni Kiongozi wa kanisa.

Haya jamani, ikiwa ndani ya chama ni hivyo! Jee nje?

Kwahiyo Malecela na Makamba wanavyotofautiana kuhusu Arusha ni udini? Rostam na Sita tofauti zao ni sababu za udini? Tusijaribu kuoanisha kila kitu na udini jamani, tuna matatizo mengi already we do not want this mess. Tukitengana matatizo yetu yanazidi kuwa complex na hakuna mshindi atakayepatikana whatsoever.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…