Wewe huoni majanga jamaa kupigana na Mungu?
Jina tunatumia herufi kubwa. Mfano Faiza na sio faiza.Toofauti yake nini?
Unazungumzia Mungu au mungu?Hii habari nilipoisoma binafsi nikicheka sana, ni ya ukweli kabisa...
Jamaa kapigana na "mungu" na akamshinda, kama hiyo haitoshi kuwa janga. Jamaa kamshinda "mungu" kwa kupitisha mkono na "kumgusa" kwenye "uvungu" wa paja la "mungu". Jaza mwenyewe huo uvungu wa paja ni wapi?
Mwanzo 32:
24 Yakobo akakaa peke yake; na mtu mmoja akashindana naye mweleka hata alfajiri.
25 Naye alipoona ya kuwa hamshindi, alimgusa panapo uvungu wa paja lake; ukateguka uvungu wa paja la Yakobo alipokuwa akishindana naye.
26 Akasema, Niache, niende, maana kunapambazuka. Akasema, Sikuachi, usiponibariki.
27 Akamwuliza, Jina lako n'nani? Akasema, Yakobo.
28 Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila Israeli, maana umeshindana na Mungu, na watu, nawe umeshinda.
25.Yeye alipoona kwamba hakuwa amemshinda,+ akagusa tundu la fundo la paja lake; nalo tundu la fundo la paja la Yakobo likateguka wakati wa kupigana naye mweleka.Wewe tafsiri kwa lugha upedavyo, mImi nimeisoma Kiswahili na huu ugomvi umenichekesha sana. Jamaa aligusa wapi?
Hii habari nilipoisoma binafsi nikicheka sana, ni ya ukweli kabisa...
Jamaa kapigana na "mungu" na akamshinda, kama hiyo haitoshi kuwa janga. Jamaa kamshinda "mungu" kwa kupitisha mkono na "kumgusa" kwenye "uvungu" wa paja la "mungu". Jaza mwenyewe huo uvungu wa paja ni wapi?
Mwanzo 32:
24 Yakobo akakaa peke yake; na mtu mmoja akashindana naye mweleka hata alfajiri.
25 Naye alipoona ya kuwa hamshindi, alimgusa panapo uvungu wa paja lake; ukateguka uvungu wa paja la Yakobo alipokuwa akishindana naye.
26 Akasema, Niache, niende, maana kunapambazuka. Akasema, Sikuachi, usiponibariki.
27 Akamwuliza, Jina lako n'nani? Akasema, Yakobo.
28 Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila Israeli, maana umeshindana na Mungu, na watu, nawe umeshinda.
Hili nalo ni tatizo LA mwanamke kuwa mpweke akiwa na nyege, sasa sijui mpaka zamu yako ifike utakuwa umposti ujinga kiasi gani.Hii habari nilipoisoma binafsi nikicheka sana, ni ya ukweli kabisa...
Jamaa kapigana na "mungu" na akamshinda, kama hiyo haitoshi kuwa janga. Jamaa kamshinda "mungu" kwa kupitisha mkono na "kumgusa" kwenye "uvungu" wa paja la "mungu". Jaza mwenyewe huo uvungu wa paja ni wapi?
Mwanzo 32:
24 Yakobo akakaa peke yake; na mtu mmoja akashindana naye mweleka hata alfajiri.
25 Naye alipoona ya kuwa hamshindi, alimgusa panapo uvungu wa paja lake; ukateguka uvungu wa paja la Yakobo alipokuwa akishindana naye.
26 Akasema, Niache, niende, maana kunapambazuka. Akasema, Sikuachi, usiponibariki.
27 Akamwuliza, Jina lako n'nani? Akasema, Yakobo.
28 Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila Israeli, maana umeshindana na Mungu, na watu, nawe umeshinda.
25 When the man saw that he could not overpower him, he touched the socket of Jacob’s hip so that his hip was wrenched as he wrestled with the man.Hakuna tafsiri hapo nimeweka na mistari ya biblia. Tafsiri wewe.
Hivi aligusa "uvungu" upi?Hili nalo ni tatizo LA mwanamke kuwa mpweke akiwa na nyege, sasa sijui mpaka zamu yako ifike utakuwa umposti ujinga kiasi gani.
Sent using Jamii Forums mobile app