ugomvi gani huu....?

ugomvi gani huu....?

kabanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
37,506
Reaction score
18,872
1006136_488721117862958_1940143674_n.jpg
 
Duh, hiyo kaptula ni ushahidi tu, hakuna nguo. Mpaka ugomvi ukiisha kaptula itakuwa kwenye visigino
 
Huyo mwenye nyekundu atakuwa Mkurya na huyo aliyeelekeza mkono pasipoenekana haraka ni muha. Hahahahaaaa.
 
Hizi ndo ndundi gani sasa jamani?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

huwa najiuliza kwanini wavulana/wanaume wakipigana hukimbilia kushika p.u.m.b.u au m.b.o.o ya mwenzake, wanafurahia kushikana au ndo eneo la mashambulizi? tangu nasoma primary nimeshuhudia hii hadi huko mitaani hata huyo mwenye boksa ya draft kakimbilia huko kwa mwenzake.
nahisi mmoja wao kafumaniwa asubuhi asubuhi ndo maana wako na boksa kaaz kweikwei.
 
Back
Top Bottom