Ugently:Mwl wa Kiingereza

Puna

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2013
Posts
2,793
Reaction score
4,936
Mwalimu aliyesoma Kiingereza anicheki inbox chap,ila awe na matokeo mazuri kuanzia o'level.
 
Ume andika kidharau sana
Inapotangazwa nafasi za kazi na kuweka sifa basi ni bora kuzingatia sifa husika.Huku kwetu sisi tunaamini ubora wa mtu huko kwenye makaratasi nafikiri hata wewe unaliju ilo.Kama anaona ana content lakini vyeti vilichafuka anaweza kuja kwenye interview na kutushawishi kuwa yeye Ni mwamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…