OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,231
- 103,860
Huyu mtu ni KATILI sana Mkuu.Magereza wamepewa 10bn chap chap wakajenge nyumba dar sawa, ila kwenda kujenga majengo ya serikali Kagera ni nuksi badala yake ya rambi rambi ndo inapelekwa ikajenge. Jamaa mpuuzi hata kwenda hajawahi kwenda ni mbaguzi na muuaji mkubwa, eti juzi anatoa 5ml kumsaidia mtoto wakati Bukoba kuna vichanga vinanyeshewa mvua kila kukicha na mama zao hawana pa kuweka hata kichwa. Yesu alisema kwenye hii dunia kuna watu wanakula, kunywa na kusaza lakini mwana wa adamu hana hata pa kujiegesha, hii ni laana na hii laana itamfata hata kaburini. Utawala wake utakuwa ni kazi bure na maisha yake baada ya hii dhamana aliyonayo leo yatakuwa ya kujutia mpaka anakata roho.
Waliokufa baada ya wale 17 waliongezeka 5 lakini pesa za rambirambi ziliishia kwa wale 17 waliokufa on the spot, walifariki baadae kidogo 5 mpaka leo hawasemwi, hawaunganishwi na wenzao 17 na wala hawajawahi hata kupewa sh 10 iwasaidie na si hajabu hata hizo biskuits na sabuni vilivyogawiwa hawakuwahi kupewa hata kipande kimoja
I hate this man.
Mshenzi hana jina jingine mkuu na ukweli siyo matusi. nakuheshimu sana ila hautoizuia nafsi yangu kusema kilicho kifuani mwangu ...ipo siku Mungu atazisikia sauti zetu hata kama siyo leo ama kesho.Usimtukane rais plz
Kwa hiyo misaada kwa wengine isitishwe?? Ulitaka Gambo apeleke misaada ya wakazi wa Arusha Bukoba??Hawa wahanga bado wanaishi kwa taabu sana,hakuna wa kuwasemea zaidi ya humu JF kwa kificho
Awali walielezwa wafanye kazi serikali itatumia michango kujenga miundombinu. Wakati wanaendelea kutafakari wasiamini lile tamko umefanyika mgawo wa mabodaboda hadharani mbele ya WM Majaliwa. Hata kabla ya hapo Magereza waliajidiwa kutengewa fedha za kujenga makazi yao.
Niwaulize wahanga na wanandugu kwa ujumla mnajisikiaje.Mungu awabariki sana,awavushe kwenye hili tope
pole sana mkuu, yana mwisho haya.Mshenzi hana jina jingine mkuu na ukweli siyo matusi. nakuheshimu sana ila hautoizuia nafsi yangu kusema kilicho kifuani mwangu ...ipo siku Mungu atazisikia sauti zetu hata kama siyo leo ama kesho.
Binafsi nimeshaamua kuomba kwa Mungu aisamehe nchi yetu kwa dhambi hii lakini atulipie anachokistahili binadamu mwenzetu huyu. Nitamwomba kila siku Mungu na naamini majuto yatamfikaJamaa ni wazi hawapendi watu wa Kagera nje ya fununu zilizokuwepo kabla ila kwa sasa kadhihirisha wazi wazi hawapendi watu wa ukanda huo. Alilazimisha Chato kuhamia mkoa Geita ili tu usionekane uko Kagera. Ila kwa alichokifanya Mungu atatujibia tu ipo siku
Huyo ni mbunge wa tume ya uchaguzi siyo wananchi. Na kama tutaendelea kuwa na tume ya uchaguzi ya namna hii basi ipo siku taifa litaangamia.Naangalia clouds TV hapa mwanza huko wasukuma wanaisoma namba baada ya kumchagua msukuma mwenzao.
Magereza wamepewa 10bn chap chap wakajenge nyumba dar sawa, ila kwenda kujenga majengo ya serikali Kagera ni nuksi badala yake ya rambi rambi ndo inapelekwa ikajenge. Jamaa hata kwenda hajawahi kwenda ni mbaguzi na muuaji mkubwa, eti juzi anatoa 5ml kumsaidia mtoto wakati Bukoba kuna vichanga vinanyeshewa mvua kila kukicha na mama zao hawana pa kuweka hata kichwa. Yesu alisema kwenye hii dunia kuna watu wanakula, kunywa na kusaza lakini mwana wa adamu hana hata pa kujiegesha, hii ni laana na hii laana itamfata hata kaburini. Utawala wake utakuwa ni kazi bure na maisha yake baada ya hii dhamana aliyonayo leo yatakuwa ya kujutia mpaka anakata roho.
Waliokufa baada ya wale 17 waliongezeka 5 lakini pesa za rambirambi ziliishia kwa wale 17 waliokufa on the spot, walifariki baadae kidogo 5 mpaka leo hawasemwi, hawaunganishwi na wenzao 17 na wala hawajawahi hata kupewa sh 10 iwasaidie na si hajabu hata hizo biskuits na sabuni vilivyogawiwa hawakuwahi kupewa hata kipande kimoja
I hate this man.
Arusha hakuna janga yaani uache mtu ananyeshewa mvua na unaenda kugawa bodaboda?Kwa hiyo misaada kwa wengine isitishwe?? Ulitaka Gambo apeleke misaada ya wakazi wa Arusha Bukoba??
Mkuu unataka kuwachonganisha wahanga na watanzania wengine!!. My good friend that's evil.Hawa wahanga bado wanaishi kwa taabu sana,hakuna wa kuwasemea zaidi ya humu JF kwa kificho
Awali walielezwa wafanye kazi serikali itatumia michango kujenga miundombinu. Wakati wanaendelea kutafakari wasiamini lile tamko umefanyika mgawo wa mabodaboda hadharani mbele ya WM Majaliwa. Hata kabla ya hapo Magereza waliajidiwa kutengewa fedha za kujenga makazi yao.
Niwaulize wahanga na wanandugu kwa ujumla mnajisikiaje.Mungu awabariki sana,awavushe kwenye hili tope
Mkuu unataka kuwachonganisha wahanga na watanzania wengine!!. My good friend that's evil.
Unataka kuniambia juhudi zote za kuwasaidia wahanga hazijafanya kitu?. Mmmh, mkuu nasita kuamini ujumbe wa thread yako. Halafu sio rahisi kwa kile kinachotolewa kuweza kugusa maisha ya kila mtu, halafu haziwezi kutolewa fedha cash kwa mtu.
Inajengwa miundo mbinu ambayo itatumika katika kubadilisha hali ya maisha ya mmoja mmoja. Serikali hiyo hiyo ijenge barabara zote, ijenge zahanati katika kila kata, ilipe wanafunzi wa vyuo vikuu, ilipie elimu bure. My friend socialistic ideas have got their limits.