Ugawaji pikipiki Wahanga wa Kagera wanajisikiaje??

  • Thread starter OKW BOBAN SUNZU
  • Start date

OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Messages
25,919
Likes
25,929
Points
280
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2011
25,919 25,929 280
Hawa wahanga bado wanaishi kwa taabu sana,hakuna wa kuwasemea zaidi ya humu JF kwa kificho

Awali walielezwa wafanye kazi serikali itatumia michango kujenga miundombinu. Wakati wanaendelea kutafakari wasiamini lile tamko umefanyika mgawo wa mabodaboda hadharani mbele ya WM Majaliwa. Hata kabla ya hapo Magereza waliajidiwa kutengewa fedha za kujenga makazi yao.

Niwaulize wahanga na wanandugu kwa ujumla mnajisikiaje.Mungu awabariki sana,awavushe kwenye hili tope
 
M

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2013
Messages
8,102
Likes
18,579
Points
280
M

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2013
8,102 18,579 280
Hii ndio serikali ya CCM.

Na jana kasema wameshalipia down payment ya ndege nyingine 4.

Ina maana kinachokosekana kwenye kuwasaidia hawa wahanga wa Tetemeko ni DHAMIRA tu ila kama UWEZO serikali inao.
 
Rweye

Rweye

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Messages
16,246
Likes
4,033
Points
280
Rweye

Rweye

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2011
16,246 4,033 280
Magereza wamepewa 10bn chap chap wakajenge nyumba dar sawa, ila kwenda kujenga majengo ya serikali Kagera ni nuksi badala yake ya rambi rambi ndo inapelekwa ikajenge. Jamaa hata kwenda hajawahi kwenda ni mbaguzi na muuaji mkubwa, eti juzi anatoa 5ml kumsaidia mtoto wakati Bukoba kuna vichanga vinanyeshewa mvua kila kukicha na mama zao hawana pa kuweka hata kichwa. Yesu alisema kwenye hii dunia kuna watu wanakula, kunywa na kusaza lakini mwana wa adamu hana hata pa kujiegesha, hii ni laana na hii laana itamfata hata kaburini. Utawala wake utakuwa ni kazi bure na maisha yake baada ya hii dhamana aliyonayo leo yatakuwa ya kujutia mpaka anakata roho.

Waliokufa baada ya wale 17 waliongezeka 5 lakini pesa za rambirambi ziliishia kwa wale 17 waliokufa on the spot, walifariki baadae kidogo 5 mpaka leo hawasemwi, hawaunganishwi na wenzao 17 na wala hawajawahi hata kupewa sh 10 iwasaidie na si hajabu hata hizo biskuits na sabuni vilivyogawiwa hawakuwahi kupewa hata kipande kimoja

I hate this man.
 
mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Messages
15,731
Likes
13,799
Points
280
mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2015
15,731 13,799 280
Wahanga wana hela zao wangepewa zile za misaada.alaf kwani hizo piki piki zimetolewa bure au watarudisha hela?
 
M

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2013
Messages
8,102
Likes
18,579
Points
280
M

MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2013
8,102 18,579 280
Magereza wamepewa 10bn chap chap wakajenge nyumba dar sawa, ila kwenda kujenga majengo ya serikali Kagera ni nuksi badala yake ya rambi rambi ndo inapelekwa ikajenge. Jamaa mpuuzi hata kwenda hajawahi kwenda ni mbaguzi na muuaji mkubwa, eti juzi anatoa 5ml kumsaidia mtoto wakati Bukoba kuna vichanga vinanyeshewa mvua kila kukicha na mama zao hawana pa kuweka hata kichwa. Yesu alisema kwenye hii dunia kuna watu wanakula, kunywa na kusaza lakini mwana wa adamu hana hata pa kujiegesha, hii ni laana na hii laana itamfata hata kaburini. Utawala wake utakuwa ni kazi bure na maisha yake baada ya hii dhamana aliyonayo leo yatakuwa ya kujutia mpaka anakata roho.

Waliokufa baada ya wale 17 waliongezeka 5 lakini pesa za rambirambi ziliishia kwa wale 17 waliokufa on the spot, walifariki baadae kidogo 5 mpaka leo hawasemwi, hawaunganishwi na wenzao 17 na wala hawajawahi hata kupewa sh 10 iwasaidie na si hajabu hata hizo biskuits na sabuni vilivyogawiwa hawakuwahi kupewa hata kipande kimoja

I hate this man.
Huyu mtu ni KATILI sana Mkuu.
Haiwezekani na wala haiingii akilini ukimwambia mtu kwamba mpaka kesho hajawahi kwenda kutoa pole pale Kagera.
Still na michango yao uwapige.
 
Bakeza

Bakeza

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2011
Messages
335
Likes
88
Points
45
Bakeza

Bakeza

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2011
335 88 45
Jamaa ni wazi hawapendi watu wa Kagera nje ya fununu zilizokuwepo kabla ila kwa sasa kadhihirisha wazi wazi hawapendi watu wa ukanda huo. Alilazimisha Chato kuhamia mkoa Geita ili tu usionekane uko Kagera. Ila kwa alichokifanya Mungu atatujibia tu ipo siku
 
barafuyamoto

barafuyamoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Messages
24,820
Likes
17,186
Points
280
barafuyamoto

barafuyamoto

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2014
24,820 17,186 280
Hawa wahanga bado wanaishi kwa taabu sana,hakuna wa kuwasemea zaidi ya humu JF kwa kificho

Awali walielezwa wafanye kazi serikali itatumia michango kujenga miundombinu. Wakati wanaendelea kutafakari wasiamini lile tamko umefanyika mgawo wa mabodaboda hadharani mbele ya WM Majaliwa. Hata kabla ya hapo Magereza waliajidiwa kutengewa fedha za kujenga makazi yao.

Niwaulize wahanga na wanandugu kwa ujumla mnajisikiaje.Mungu awabariki sana,awavushe kwenye hili tope
Kwa hiyo misaada kwa wengine isitishwe?? Ulitaka Gambo apeleke misaada ya wakazi wa Arusha Bukoba??
 
DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2009
Messages
16,607
Likes
9,421
Points
280
DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2009
16,607 9,421 280
Wametengwa
 
ndoze

ndoze

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2016
Messages
1,162
Likes
1,061
Points
280
Age
39
ndoze

ndoze

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2016
1,162 1,061 280
Mshenzi hana jina jingine mkuu na ukweli siyo matusi. nakuheshimu sana ila hautoizuia nafsi yangu kusema kilicho kifuani mwangu ...ipo siku Mungu atazisikia sauti zetu hata kama siyo leo ama kesho.
pole sana mkuu, yana mwisho haya.
 
Rweye

Rweye

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Messages
16,246
Likes
4,033
Points
280
Rweye

Rweye

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2011
16,246 4,033 280
Jamaa ni wazi hawapendi watu wa Kagera nje ya fununu zilizokuwepo kabla ila kwa sasa kadhihirisha wazi wazi hawapendi watu wa ukanda huo. Alilazimisha Chato kuhamia mkoa Geita ili tu usionekane uko Kagera. Ila kwa alichokifanya Mungu atatujibia tu ipo siku
Binafsi nimeshaamua kuomba kwa Mungu aisamehe nchi yetu kwa dhambi hii lakini atulipie anachokistahili binadamu mwenzetu huyu. Nitamwomba kila siku Mungu na naamini majuto yatamfika
 
S

samahard

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2016
Messages
207
Likes
72
Points
45
Age
31
S

samahard

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2016
207 72 45
ARUSHA wavuna matunda ya kuchagua vichwa, huwez kumtomgoza mkeo
 
R

REAGAN C.MABOGO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
1,265
Likes
957
Points
280
R

REAGAN C.MABOGO

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
1,265 957 280
Naangalia clouds TV hapa mwanza huko wasukuma wanaisoma namba baada ya kumchagua msukuma mwenzao.
Huyo ni mbunge wa tume ya uchaguzi siyo wananchi. Na kama tutaendelea kuwa na tume ya uchaguzi ya namna hii basi ipo siku taifa litaangamia.
 
lwiva

lwiva

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2015
Messages
2,316
Likes
1,481
Points
280
lwiva

lwiva

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2015
2,316 1,481 280
Mm nikiwaambia watz chama cha magamba ni laana na hiyo laana lazima ijiziilishe hadi tutakapo ikataa kwa Akili ,Uwezo na Nguvu zetu zote
 
B

Bukyanagandi

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2009
Messages
7,758
Likes
4,347
Points
280
B

Bukyanagandi

JF-Expert Member
Joined Jun 24, 2009
7,758 4,347 280
Magereza wamepewa 10bn chap chap wakajenge nyumba dar sawa, ila kwenda kujenga majengo ya serikali Kagera ni nuksi badala yake ya rambi rambi ndo inapelekwa ikajenge. Jamaa hata kwenda hajawahi kwenda ni mbaguzi na muuaji mkubwa, eti juzi anatoa 5ml kumsaidia mtoto wakati Bukoba kuna vichanga vinanyeshewa mvua kila kukicha na mama zao hawana pa kuweka hata kichwa. Yesu alisema kwenye hii dunia kuna watu wanakula, kunywa na kusaza lakini mwana wa adamu hana hata pa kujiegesha, hii ni laana na hii laana itamfata hata kaburini. Utawala wake utakuwa ni kazi bure na maisha yake baada ya hii dhamana aliyonayo leo yatakuwa ya kujutia mpaka anakata roho.

Waliokufa baada ya wale 17 waliongezeka 5 lakini pesa za rambirambi ziliishia kwa wale 17 waliokufa on the spot, walifariki baadae kidogo 5 mpaka leo hawasemwi, hawaunganishwi na wenzao 17 na wala hawajawahi hata kupewa sh 10 iwasaidie na si hajabu hata hizo biskuits na sabuni vilivyogawiwa hawakuwahi kupewa hata kipande kimoja

I hate this man.
Mkuu Rweye, JPJM amewahi kusoma Seminary sina shaka uwanadamu anao sana, give him time labda anaweka mikakati kababe ya kumaliza matatizo sugu ya Mkoa wa Kagera ambayo yako dhahili kabisa, atusemi aupe upendeleo wala nini sijui, amezaliwa Mkoa huo atakuwa anajua sana changa moto zisizo za kawaidi za Mkoa wa Kagera si kwa kuadithiwa bali kwa kuona kwa macho yake, we are not looking for sympathy tunacho kumbusha sisi Mkoa utendewe haki - that's all we need.

Kuna baadhi ya mambo yanafanywa kwenye Mkoa huo moaja mtu unabaki unajiuliza maswali mengi, mfano: Kuna jamaa yangu kuta za ndani za nyumba yake zilihanguka baada ya kusibiri ahadi hewa za Serikali akijiamlia kuzijenga upya kwa kutumia resources zake, juzi watu kutoka Serikalini wakaja na kumwambia wameandika watampatia mifuko kumi ya saruji lakini watampatia mfuko mmoja tu aweke sahahihi kwamba kapewa mifuko kumi ya Saruji - jamaa yangu kakataa kuweka sahihi, sasa haya ni baadhi ya mambo ya ukosefu wa uwanadamu unao endelea Mkoani Kagera ,je, wahusika waliandika nini kwenye record!!

Tusijidanganye, wafanyakazi wa ngazi za chini awawezi kuwa na ubavu wa kufanya ukatiri/hujuma bila ya kushirikiana na wa ngazi za juu - wako well organised kuwakomoa waanga, yaani wanatoa vipa umbele ambavyo haviwekei maanani wanadamu kwanza Dunia gani itatuelewa.

Mwisho mkuu Rweye wakati mwingine "OTAGAMBA KUMALAHYO"
mimi nina imani JPJM atakuwa anajipanga jinsi ya kushughulikia suala zima - give him time, awezi kulipuuzia nae ni binadamu - I might be wrong.
 
ILAN RAMON

ILAN RAMON

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Messages
7,098
Likes
1,895
Points
280
ILAN RAMON

ILAN RAMON

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2013
7,098 1,895 280
Kwa hiyo misaada kwa wengine isitishwe?? Ulitaka Gambo apeleke misaada ya wakazi wa Arusha Bukoba??
Arusha hakuna janga yaani uache mtu ananyeshewa mvua na unaenda kugawa bodaboda?
 
P

Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2015
Messages
9,539
Likes
5,891
Points
280
Age
44
P

Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2015
9,539 5,891 280
Hawa wahanga bado wanaishi kwa taabu sana,hakuna wa kuwasemea zaidi ya humu JF kwa kificho

Awali walielezwa wafanye kazi serikali itatumia michango kujenga miundombinu. Wakati wanaendelea kutafakari wasiamini lile tamko umefanyika mgawo wa mabodaboda hadharani mbele ya WM Majaliwa. Hata kabla ya hapo Magereza waliajidiwa kutengewa fedha za kujenga makazi yao.

Niwaulize wahanga na wanandugu kwa ujumla mnajisikiaje.Mungu awabariki sana,awavushe kwenye hili tope
Mkuu unataka kuwachonganisha wahanga na watanzania wengine!!. My good friend that's evil.

Unataka kuniambia juhudi zote za kuwasaidia wahanga hazijafanya kitu?. Mmmh, mkuu nasita kuamini ujumbe wa thread yako. Halafu sio rahisi kwa kile kinachotolewa kuweza kugusa maisha ya kila mtu, halafu haziwezi kutolewa fedha cash kwa mtu.

Inajengwa miundo mbinu ambayo itatumika katika kubadilisha hali ya maisha ya mmoja mmoja. Serikali hiyo hiyo ijenge barabara zote, ijenge zahanati katika kila kata, ilipe wanafunzi wa vyuo vikuu, ilipie elimu bure. My friend socialistic ideas have got their limits.
 
B

Bukyanagandi

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2009
Messages
7,758
Likes
4,347
Points
280
B

Bukyanagandi

JF-Expert Member
Joined Jun 24, 2009
7,758 4,347 280
Mkuu unataka kuwachonganisha wahanga na watanzania wengine!!. My good friend that's evil.

Unataka kuniambia juhudi zote za kuwasaidia wahanga hazijafanya kitu?. Mmmh, mkuu nasita kuamini ujumbe wa thread yako. Halafu sio rahisi kwa kile kinachotolewa kuweza kugusa maisha ya kila mtu, halafu haziwezi kutolewa fedha cash kwa mtu.

Inajengwa miundo mbinu ambayo itatumika katika kubadilisha hali ya maisha ya mmoja mmoja. Serikali hiyo hiyo ijenge barabara zote, ijenge zahanati katika kila kata, ilipe wanafunzi wa vyuo vikuu, ilipie elimu bure. My friend socialistic ideas have got their limits.
Mambo mengine bwana!!! Uwanadamu kwanza infrastructure ni secondary, kwa nini tunataka kutanguliza mkokoteni nyuma ya farasi/punda?

Kinacho zungumzwa hapa si masuala ya sayansi ya roketi tunacho kumbusha ni kuwa na roho/moyo wa UTU - Afrika kusini Wazuru na Wahaya usema UBUNTU/OBUNTU saula la waaga wa Mkoa wa Kagera term hiyo imekuwa eroded kwenye msamiati wa Taifa letu, hii inanikumbusha tamuko la Rais wa USSR kuhusu NEUTRON BOM alisema bom hilo ni la kibepari hasa, maana linauua binadamu na viumbe ahi linabakiza majengo, madaraja, mabarabara na zana zote za kijeshi vikiwemo vifaru!!!

I was wondering kama mikakati ya usaidizi wa waanga wa mkoani Kagera kama una tofauti na Bomb la Neutron, kill the driver save the engine.
 
Forum statistics

Threads 1,275,055
Members 490,894
Posts 30,531,653