OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,178
- 103,659
Hawa wahanga bado wanaishi kwa taabu sana,hakuna wa kuwasemea zaidi ya humu JF kwa kificho
Awali walielezwa wafanye kazi serikali itatumia michango kujenga miundombinu. Wakati wanaendelea kutafakari wasiamini lile tamko umefanyika mgawo wa mabodaboda hadharani mbele ya WM Majaliwa. Hata kabla ya hapo Magereza waliajidiwa kutengewa fedha za kujenga makazi yao.
Niwaulize wahanga na wanandugu kwa ujumla mnajisikiaje.Mungu awabariki sana,awavushe kwenye hili tope