Ugawaji pikipiki Wahanga wa Kagera wanajisikiaje??

Mambo mengine bwana!!! Uwanadamu kwanza infrastructure ni secondary, kwa nini tunataka kutanguliza mkokoteni nyuma ya farasi/punda?

Kinacho zungumzwa hapa si masuala ya sayansi ya roketi tunacho kumbusha ni kuwa na roho/moyo wa UTU - Afrika kusini Wazuru na Wahaya usema UBUNTU/OBUNTU saula la waaga wa Mkoa wa Kagera term hiyo imekuwa eroded kwenye msamiati wa Taifa letu, hii inanikumbusha tamuko la Rais wa USSR kuhusu NEUTRON BOM alisema bom hilo ni la kibepari hasa, maana linauua binadamu na viumbe ahi linabakiza majengo, madaraja, mabarabara na zana zote za kijeshi vikiwemo vifaru!!!

I was wondering kama mikakati ya usaidizi wa waanga wa mkoani Kagera kama una tofauti na Bomb la Neutron, kill the driver save the engine.
Umeandika mengi sana lakini yote yanaakisi fikra na hulka za kiafrika. Kutokuwa na shukrani, kutothamini kinachofanywa na mtu fulani.
Aliyekwambia kuwa hakuna uanadamu kwenye kushughulikia masuala ya wahanga ni nani?. Huwezi ukawapa fedha mtu mmoja mmoja, tuseme leo unawapa milioni moja kila kaya, baada ya miezi miwili fedha imekwisha, ina maana utarudi tena na milioni moja zingine kwa kila kaya?.
Margaret Thatcher aliwahi kusema - tatizo la ujamaa ni kwamba hujui pesa za wachache zinazowatunza na kuwalisha wengi, zitaisha lini.
 
Rudia kusoma nilicho andika, ni wapi nimeandika kwamba waaga wanataka wapatiwe msaada wa pesa/fedha - wapi?? Wala sishangai hii ni kawaida kwa watu wenye hulka au element ya kutojali masaibu ya wanadamu wenzao mara nyingi ukimbilia kutoa visingizio vya kitoto ili wenyeji wa Mkoa wa Kagera waonekane shida yao ni kutaka kupewa fedha za bure, wavivu, wana demand vitu unreasonably hii ndiyo crusade inayo endelea hapa i.e brushing them off au ku-sweep under the carpet matatizo yao ya kweli - akili gani hizi!!

Mmekazania kusingizia pesa, pesa, pesa nani kawambieni kaya za waanga wanataka kulipwa fedha au fidia? Hii mnaisema kwa kutaka kupoteza lengo ili mtelekeza binadamu wenzetu, mnashindwa kupeleka mahema, chakula na madawa badala yake mnapeleka biskuti na maji ya chupa, nani kawambia mkoa wa Kagera wana shida ya maji ya kunywa?

Magret Thatcher unaye msema humu nimemuona kwa macho yangu sio kuadithiwa, Thatcher alikuwa a practice anayo yasema kwenye majukwaa ya siasa, hasa hasa anapo wasema sema Warusi na na Viongozi wa Ulaya ya Mashariki ya wakati huo, alicho kuwa anafanya ni Political rhetoric za kuwasema vibaya wenzake, basi.

Thatcher unaye msema humu alikuwa ni mtu wa msaada sana wakati Taifa lake linapo kumbwa na Natural Disaster si Taifa lake tu hata Mataifa mengine, mtu yeyote mwenye uwezo wa kifedha au Uongozi awezi kupuuzia waanga wa majanga/maafa ya asili.

Binafsi nakumbuka vizuri jinsi Thatcher alivyo shughulikia masuala ya maafa nchini mwake, la kwanza lilihusu kuzama kwa Ferry pale Zeebrugge, la pili la mfano wa kuigwa lilihusu kimbunga kikubwa na mafuriko makubwa Kusini Mashariki mwa Kisiwa cha Uingereza, kuna raia walipoteza maisha, wengine nyumba zao kusombwa na maji, miti kuangukia nyumba na magari na raia wengi kukosa maakazi - mbona Thatcher huyo ali mobilize wanajeshi wakapekeka chakula, madawa na mahema kwa haraka kusaidia waanga na kuwapa msaada mpaka walipoweza kurudisha hali back to normal - halafu sisi hapa tunaleta adithi za kusimanga watu kwa kusingizia siasa za ujamaa kwamba zinawalea vibaya raia wake kuwa tegemezi - sikuona Thatcher anawambia raia wa nchini mwake walio kumbwa na majanga kwamba wajitegemee majanga hayo hayakuwa manufactured na Serikali yake, kuna baadhi ya Watanzania wenzetu wanetoa such unfortunate remarks bila aibu! mbona mifano/adithi hizo sikuzisikia kwenye mafuriko ya Morogoro? Tukumbuke linapo kuja suala la ku deal na Natural Disaster tusingize siasa - what counts ni kutanguliza UTU kwanza.

Tuwe wakweli suala la waanga wa mtetememeko wa aridhi Mkoani Kagera alikuwa properly handled for some reasons that bits me, tusijaribu ku invent lame excuses.
 
Mkuu, unarudia tena kuandika gazeti zima, lakini ujumbe wangu ni mmoja tu sitaki kukubaliana na wewe kwamba wahanga wa Bukoba hawakuchukuliwa kibinadamu kama unavyotaka hali ionekane, sio kweli hata kidogo.

Ndio maana nikakwambia ni ukosefu ule ule wa shukrani ambayo ni sehemu ya maisha yetu sisi waafrika. Ukipewa kumi utasema mbona nastahili ishirini, ukipewa ishirini utasema mbona haki yangu ni arobaini, ukipewa arobaini utasema mbona mimi nastahili hamsini.

Nimekupa mfano wa Thatcher ambaye uliwahi kumuona, ili utambue kwamba inafika mahali mtu anatakiwa ajisaidie mwenyewe, awe mbunifu na kwa kusema hivyo haina maana kuwa anatukanwa akiambiwa ajitegemee.
 
Hawa wahanga bado wanaishi kwa taabu sana,hakuna wa kuwasemea zaidi ya humu JF kwa kificho

Awali walielezwa wafanye kazi serikali itatumia michango kujenga miundombinu. Wakati wanaendelea kutafakari wasiamini lile tamko umefanyika mgawo wa mabodaboda hadharani mbele ya WM Majaliwa. Hata kabla ya hapo Magereza waliajidiwa kutengewa fedha za kujenga makazi yao.

Niwaulize wahanga na wanandugu kwa ujumla mnajisikiaje.Mungu awabariki sana,awavushe kwenye hili tope
Je kagasheki atathubutu kuchukua fomu za ubunge za ccm 2020 kama anavyojipanga ?
 
Hata kama serikali imetusahau Mwenyezi Mungu anatupigania. Mbali na Tetemeko huku Bukoba kuna njaa balaa kusema kweli hali ilivyo na serekali inavyotuchukulia ni tofauti sana.! Na tatzo kubwa la kagera tuna wabunge wanafiki wa CCM kumtoa MMOJA wa UKAWA Bukoba mjini. Wangekuwa na utu kweli wangelisusia na bunge kuishinikiza serikali
 
Back
Top Bottom