Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,975
- 25,290
Mwenye maamuzi ni Museveni, hata kama Tanga to Uganda ingekuwa karibu kiasi gani,.
Yaa survey inatisha sana, ina kwa asili ya Museveni ni mpenda chokochoko sana, labda tufanye ule msemo wa serikali ya awamu ya tano, kila mwananchi afanye hivyo Mungu aingilie kati dili tupewe sie, :tuwaombee" tuliombee taifa....True Mkuu ila hiyo survey ya bomba tz INATISHA
.....Kwa kuiangalia tu hii ramani unaona kabisa juna kitu anakitafuta kwa nchi mbili hizi...
...tz sio longest way / naona kwa ramani hii / Kenya wana advantage -->Mombasa.
Kenya wana advantage sema kinachowaponza ni ukosefu wa amani na tishio la ugaidi
Kwa kuiangalia tu hii ramani unaona kabisa juna kitu anakitafuta kwa nchi mbili hizi...
...kwa haraka haraka (kaskazinitz) hiyo pipe inapasuwa Tanzania craton, Lake Eyasi Yaenda Chini, mbuga nyekundu, masieda, datlaa , magara, minjingu , mswakini......
ushauri EIA izingatie vigezo......
...Hii nayo ni hoja. Ukizingatia ndani ya mambo yote kuna PK mkubwa sana amefunga vidole!