Uganda yaingiza vifaa vya kupambana na vurugu wakati uchaguzi mkuu!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,575
8,595
Wakati Uganda inaingia katika uchaguzi mkuu Serikali ya nchi hiyo imeingiza magari ya deraya kwa ajili ya kupambana na wapinzani kipindi cha uchaguzi.
1454607644543.jpg
1454607651357.jpg
1454607663526.jpg
1454607670327.jpg
 
Nchi za Afrika ni kazi sana, wao wanawaza kununua magari ya bei kuumiza watu wasio na hata kisu
 
Wenzetu wazungu wanafanya biashara sisi tunawaza kupigana tusahau kuja kuendelea na tutabaki hivi mpaka dunia inafungwa eti waafrika tunataka uchumi ukue nyoooo
 
Appears Uhuru and M7 agreed to "beef up" their stock before elections.
 

Attachments

  • 8.jpg
    8.jpg
    51 KB · Views: 73
  • 4.jpg
    4.jpg
    62 KB · Views: 67
  • 5.jpg
    5.jpg
    3 KB · Views: 65
  • 7.jpg
    7.jpg
    47.9 KB · Views: 131
Huo upupu kabla hajawalushia wananchi akamlushie kwanza mama yake.
 
HAHAHAHAHAHHHHHHAAAAAAA, NIMEONA PICHA NIKACHEKA KWELI, HIZI NCHI ZETU ZA AFRICA KWELI KAZI SANA, SASA HAPA WAPINZANI WA JAMAA WANAPIGA KAMPENI ZA KAZI GANI? MAANA JAMAA LAZIMA ASHINDE HATA KWA CHUMA NA DAMU
 
Vifaa kama hivyo vya kupelekwa sehemu ulinzi sio mzuri mfano kaskazini mwa Uganda Kwa zaidi ya miaka 25 Kony ameendelea kutawala baadhi ya sehemu. Badala yake wanataka kutumia kwa wananchi wapenda mabadiliko. When will they ever learn?
 
Back
Top Bottom