Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,333
- 17,873
Kaizer,
..binafsi sikumbuki majina ya vitabu vya kiswahili vinavyohusu vita vya Kagera. lakini nakumbuka kimoja kilikuwa na rangi nyekundu.
..kile cha Kiingereza kinaitwa 'The War in Uganda' ni kizuri lakini kasoro moja ni kwamba mwandishi alikuwa attached na Kikosi kimoja cha JWTZ kwa hiyo ameandika zaidi kuhusu kikosi hicho na kamanda wake.
..sasa hivi navitafuta vitabu vyote vya vita ya Kagera. actually kitabu chochote kile chenye historia ya Tanzania.
Mkuu hata mimi nakikumbuka kama kilikuwa na rangi nyekundu hivi
hakuna mtu wa TPH humu ndani jmani?