Uganda outlaws donations to street children

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Kama muswada huo utapitishwa kuwa sheria basi itakuwa ni kosa kutoa msaada wa fedha, chakula na msaada mwingine kwa Watoto wanaoomba kando ya barabara za nchi hiyo

Kwa mujibu wa mapendekezo ya muswada huo kwa watakaokiuka watakumbana na adhabu ya kifungo cha miezi 6 jela au faini ya Dola 11 sawa na Shilingi za Kitanzania 25300

Lengo la muswada huo ni kukomesha tabia ya kuwatumia Watoto kwa shughuli za kuomba na biashara ya ngono ambayo nyuma yake imebainika kuwa wanatumwa na watu wazima

Aidha, kwa mujibu wa muswada huo itakuwa marufuku Watoto kutumika kufanya biashara ya kutembeza bidhaa barabarani


========

Lawmakers in Uganda have passed a bill making it a criminal offence to offer money, food or a donation to a street child.

Violators of this new law could face up to six months in jail or a fine of $11 (£8.20; Sh1,114).

The aim of the law is to curb the commercial and sexual exploitation of children.

Kampala’s mayor, Erias Lukwago, says the law will also penalise traffickers, agents and parents of the children found begging or selling items on the street.

It is not uncommon to see children as young as seven navigate through the traffic selling items or begging.

The government estimates there are as many as 15,000 children between the ages of seven and 17 on the city’s streets, and the number continues to climb.

Some of the children are trafficked from villages and given small rooms in slums by their handlers.

The law also makes it illegal to lease or rent a house to a child for immoral activities or for a child to engage in petty trade

Source: Daily Nation
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom