Hata wakenya hawapendi Kiswahili, ila Tanzania ikiamua, wote watalazimika kukipenda.Kazi ipo waganda wengi hawapendi kiswahili.
Hii ilikua zamani, mambo yamebadilika. Sasa hivi kuongea Kiswahili imekua ujanja siku hizi. Waganda wanacheza bongo fleva siku hizi kama wakenya.Kazi ipo waganda wengi hawapendi kiswahili.
Wakenya hawapendi Kiswahili kivipi ilihali ndio primary language here?.the only difference between Kenyans and Tanzanians is that Kenyans are multilingual and able to integrate with other people easily.Hata wakenya hawapendi Kiswahili, ila Tanzania ikiamua, wote watalazimika kukipenda.
Kenya mnachukulia Kiswahili kama dalili ya mtu ambaye hakusoma. Vipi shughuli zote za kiserikali ziendeshwe kwa kiingereza wakati lugha rasmi ya Taifa la Kenya ni kiswahili?.Wakenya hawapendi Kiswahili kivipi ilihali ndio primary language here?.the only difference between Kenyans and Tanzanians is that Kenyans are multilingual and able to integrate with other people easily.
Sio rahisi waganda kuacha kuongea lugha yao ya kiganda wanaipenda sana sio kwamba hawajui kiswahili wengi hususani kasikazini wengi wanakijua ila kuongea hawatakiSerikali ya Uganda ipo kwenye hatua za kuteua baraza la kitaifa la kuratibu matumizi ya Kiswahili na kukiidhinisha kama lugha ya pili baada ya Kingereza. Kawaida hawajawa wakikitumia Kiswahili rasmi japo kwenye baadhi ya maeneo maeneo.
Ni fursa za wazi kwa walimu wa Kenya kwenda kufundisha Kiswahili maana watahitajika wanaojua kuongea Kingereza ili irahisishe kuelewesha Kiswahili. Kama kawaida Wakenya hatuchelewi kwenye mambo kama haya.
---------------------------
The Ugandan Government has endorsed the establishment of the Uganda National Kiswahili Council whose main objective is to guide the introduction of Kiswahili as the second national (official) language.
Addressing journalists about the Cabinet decision at State House Entebbe on Monday, Mr Ofwono Opondo, the executive director of Uganda Media Centre, said that the establishment of the council is provided for in the Constitution and it’s mandated to ensure that Kiswahili is rooted as the second national language.
“The Constitution provides that we shall have two national languages [that is] English and Swahili but we have not been using Swahili. This council will be recruiting Swahili teachers who will be deployed to teach Swahili in schools,” he said.
He said the council will also oversee the establishment of a policy, legal and institutional framework for setting standards for effective promotion, development and usage of Kiswahili at all levels.
English has been Uganda's lone official language since independence in 1962.
In 2005, Kiswahili, which is viewed as neutral, was proposed as the country's second official language.
Uganda Govt endorses Council to promote adoption of Kiswahili
In 2005, Kiswahili was proposed as the country's second official language.www.theeastafrican.co.ke
Hiyo ndo kiswahili yenyu enyewe iko mbaya kama sura ya tuk tuk ya kichina kwa SGR ya uhuruTafuta mwalimu akufundishe uandishi wa kiswahili.
Ni rahisi sana kwa Kenyans kuwapiga bao Watanzania kwa fursa za kufundisha Kiswahili nje ya East Africa lakini sio ndani ya East Africa ambao kila mmoja anawajua Kiswahili chenu ni kibovu!!
Kwa nje ya East Africa ni rahisi kwa sababu, especially in those old days, wengi wanafahamu Kiswahili kipo zaidi Kenya!!
Hiyo ndo kiswahili yenyu enyewe iko mbaya kama sura ya tuk tuk ya kichina kwa SGR ya uhuru
Sasa kama kwa wabongo uandishi wa Kiswahili ni changamoto,kwa wakenya si ndo balaa....maana mbukinya akiongea kiswahili unaweza tapika,akiongea kingereza unaweza cheka ufeUandishi wa Kiswahili ni changamoto sana kwa Watanzania, ukizingatia huwa hamjui kuongea au kuandika kwa lugha nyingine yoyote, hata zenu za asili hamzijui, mnatia huruma.
Kwavile mnajidanganya Watanzania hawajui Kiingereza, bila kufahamu tofauti ya Watanzania na Wakenya, ni shobo kwenye lugha ya Kiingereza!!Wanaofundishwa Kiswahili lazima uongee kwanza lugha wanayoielewa ili muelewane, hapo ndio huwa mtihani kwa Watanzania wazee wa 'katalist' the the the
Speak for yourself. Wakenya wengi hata hawajui Kingereza.Hata wakenya hawapendi Kiswahili, ila Tanzania ikiamua, wote watalazimika kukipenda.
Kwavile mnajidanganya Watanzania hawajui Kiingereza, bila kufahamu tofauti ya Watanzania na Wakenya, ni shobo kwenye lugha ya Kiingereza!!
Hivi kabisa unaamini mtu amesoma History, Swahili, and English kwa miaka 4, kisha akaenda A-Level akasoma History, Kiswahili, English (HKL),au (HGL) kwa miaka 2, kisha akaenda chuo akasoma ama Linguistic, BA, n.k, na kwa madogo wa siku hizi, wapo wengi sana waliosoma English Medium kuanzia shule ya msingi; lakini bado unaamini wote hao hawajui English?!
Unachekesha!! Unachekesha kwa sababu usichofahamu ni kwamba, wakati nyie mnaonea fahari kuongea Kiingereza hata pasipo na sababu za msingi, Watanzania wengi wanaamini kuongea Kiingereza pasipo na sababu za msingi ni ushamba na ulimbukeni!!
Kwa mfano, ukinikuta nimesimama kwenye kituo cha daladala ukaniongelesha Kiingereza, amini usiamini, ama sitakujibu, lakini nikikujibu basi nitakujibu kwa Kiswahili! Nitakujibu kwa hiyo lugha ya kigeni endapo tu utakuwa hufahamu Kiswahili!!
Halafu kingine usichokijua ni kwamba, Watanzania wengi tatizo lao ni kwenye Kiingereza cha kuongea lakini sio cha kuandika!!!
Kwenye kufundisha Kiswahili, Mfundishaji anahitajika kuwa na ufahamu wa kawaida wa lugha ya Kiingereza lakini anatakiwa kuwa na ufahamu wa juu wa Kiswahili, na sio ufahamu wa juu wa Kiingereza na ufahamu wa kawaida wa Kiswahili!!