Akihojiwa na BBC, Waziri wa Afrika Mashariki wa Uganda amesema wataendelea na mipango yao ya kiuchumi licha ya kushutumiwa na baadhi ya watu kuhusu ushirika wao wa siri.
Aidha ameshutumu wote wanaolaumu kutengwa kwa Tanzania na Burundi katika mipango hiyo licha ya nchi hizo kuwa sehemu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki!
Hata hivyo mbuge mmoja wa bunge la Afrika Mashariki kutoka Burundi amesema kuwa si busara kuzitenga Tanzania na Burundi hata kama miradi hiyo haitajengwa katika nchi zao kwa kuwa nazo ni sehemu ya Afrika Mashariki na kwamba wananchi wao wana maslahi kwa namna moja au nyingine!
Nilimsikiliza huyiu mama yuko fit kuanzia kiswahili hadi hoja zake.Niliwahi hata kumsikiliza waziri wao wa mambo ya nje wakati fulani mwanamke anaitwa Antoinette Batumubwira ana hoja za nguvu sijapata ona.Wanawake wa Burundi walioko kwenye siasa vichwa vyao vizuri na wana hoja kali na wametulia kuliko viongozi wengi wa kike kwenye nchi za Africa mashariki ikiwemo Tanzania.Nafikiri akina mama wanasiasa wana kitu cha kujifunza kwa wanawake wanasiasa wa kike wa burundi.Wanawake wanasiasa wa burundi wanaweza sio utani.
Urafiki wa mashaka, M7 anautaka kwa udi na uvumba urais wa Africa mashariki (kwake Tanzania ndio ilikua kikwazo), Kenya wao wanaona fursa ya biashara kupitia Bandari, again Tanzania ndio mpinzani wake kibiashara hapo (though hili inabidi tujilaumu kwa uzembe wetu katika biashara) so Mkenya anaona ni bora ufanye fitina ili sisi tutengwe, Kagame yeye kachukizwa na Tanzania kupeleka majeshi yake Congo, anatafuta njia ya kujilinda ili abaki madarakani, shida iko hapa, siku M7 akishindwa kupata anachokitaka UMOJA huo ndio utakua mwisho wake, nafuu yetu ni hii, UMOJA uvunjike kabla hiyo Reli haijajengwa, ikijengwa tu hata Congo nao watahamia Bandari ya Mombasa na sio Bongo tena cause Reli ya kati kwetu iliisha kufa siku nyingi.
Plan B.
Tanzania,Burundi na Congo zianzishe community yao "The Great Lake Community" na baadae inaweza kuwa Federation.Tanzania iwatimue wafanyakazi wote wa Uganda,Kenya na Rwanda walioko makao makuu ya EA Arusha wawereplace na wafanyakazi wa Congo watakaoungana na watazania na burundi.
Community hii itakuwa na utajiri mkubwa wa natural resources kuanzia madini,ardhi,misitu na idadi kubwa ya watu kuliko EA.
​Hawa wanajulikana kama Bahima Empire family!Pongezi kwa ile Tume ya Raisi Kikwete ya maoni "Referendum" kuhusu kushirikiana katika umiliki ardhi , ya Prof. Wangwe. Ama sivyo tungekuwa pabaya leo. Bravo JK. Rwanda kujiingiza haraka haraka EAC na kumpachikia raia wake ukatibu/ Secretary - wa EAC - Richard .... walikuwa nalo jambo. Watu wanaorekebisha Katiba na kujiongezea miaka 8+ (Ka-mchezo na M7) madarakani na warithiwe na wake na watoo wao waogopwe kama cancer. Hakuna uendelevu/ sustainability hapo. Nyerere hakukosea kumwita baba mtu (UK) "Nyang'au", sasa ona mtoto wa nyoka ni nyoka (Like father like son) Let them GET LOST! disappear!.
Kwa namna ambavyo Ubeligiji ilitumia ile falsafa ya divide and rule, ni kwamba Burundi ina wahutu wengi lakini Wabeligiji waliwafanya watusi watawala na huko Rwanda watusi ni wengi lakini wahutu walifanywa watawala!Hii plan B ni nzuri. wasi wasi wangu ni je Burundi hakuna utusiutusi??? Manake wale hata 1 ni sawa na jeshi la wabongo elf 1!! Mseveni hana mkono Burundi?
Plan B.
Tanzania,Burundi na Congo zianzishe community yao "The Great Lake Community" na baadae inaweza kuwa Federation.Tanzania iwatimue wafanyakazi wote wa Uganda,Kenya na Rwanda walioko makao makuu ya EA Arusha wawereplace na wafanyakazi wa Congo watakaoungana na watazania na burundi.
Community hii itakuwa na utajiri mkubwa wa natural resources kuanzia madini,ardhi,misitu na idadi kubwa ya watu kuliko EA.
Hii plan B ni nzuri. wasi wasi wangu ni je Burundi hakuna utusiutusi??? Manake wale hata 1 ni sawa na jeshi la wabongo elf 1!! Mseveni hana mkono Burundi?
Si hivyo tu umoja huo ni wa watu wenye hasira tupu.Uganda wakileta za kuleta kugombea kisiwa cha Migingo NA kenya MKENYA anafunga mpaka hakuna bidhaa za Rwanda na Uganda kupita barabara za Kenya NA Kwenda bandari ya MOMBASA.Ghafla wanajikuta land locked chumi zao zinaporomoka kama elnino.
Uganda na Rwanda wakikorofishana majeshi yao yakatwangana ndani ya kongo Uganda INAFUNGA mpaka Rwanda asithubutu kupitia Uganda kumkomesha matokea Rwanda na kenya zinajikuta land locked haziwezi fikiana na hazina kwa kugeukia.Tanzania ndio ya kusaidia ku-balance wote likitokea la kutokea wakenya,waganda,wanyarwanda waweza tumia routes za reli,barabara au bandari za tanga na Dar kufikiana just in case likitokea la kutokea kati yao na mihasira yao.Ndio maana mifumo yote ya miundo mbinu ilibidi ihusishe Nchi zote za Afrika Mashariki ikwemo Tanzania.Wakiwekeza sana nchi zao hizo tu political Risks zao ni kubwa waweza jikuta matatizoni likiibuka la kuibuka kati yao.
Kukosa PLAN B kwa ku-ignore Tanzania ni at their own risk.Katika huo uhusiano wote wako katika risk.Tanzania ndio neutralizer wa wote.Wakiiacha mbele sijui watakimbilia wapi.
Kwa namna ambavyo Ubeligiji ilitumia ile falsafa ya divide and rule, ni kwamba Burundi ina wahutu wengi lakini Wabeligiji waliwafanya watusi watawala na huko Rwanda watusi ni wengi lakini wahutu walifanywa watawala!
Baada ya mapinduzi sasa wahutu wanatawala Burundi (Pierre Nkuruzinza) na watusi ni watawala Rwanda (Paul Kagame)!
Burundi kidogo ni tofauti kidogo na Rwanda na ndio maana wakati mgogoro kati ya Tanzania(JK) na Rwanda(PK) ukiwa juu Rais wa Burundi alikuja Tanzania kwa ajili ya mapumziko ya siku tatu. Warundi wanakumbuka vizuri kua raisi wao aliyechaguliwa kidemokrasia(Cyprian Ntaryamira) aliuwa kikatili kwa sababu ya tamaa za wanyarwanda(yasemekana M7 na PK walihusika). Katika hali kama hiyo Burundi kama burundi rafiki wao wa kweli ni Tanzania.
Si hivyo tu umoja huo ni wa watu wenye hasira tupu.Uganda wakileta za kuleta kugombea kisiwa cha Migingo NA kenya MKENYA anafunga mpaka hakuna bidhaa za Rwanda na Uganda kupita barabara za Kenya NA Kwenda bandari ya MOMBASA.Ghafla wanajikuta land locked chumi zao zinaporomoka kama elnino.
Uganda na Rwanda wakikorofishana majeshi yao yakatwangana ndani ya kongo Uganda INAFUNGA mpaka Rwanda asithubutu kupitia Uganda kumkomesha matokea Rwanda na kenya zinajikuta land locked haziwezi fikiana na hazina kwa kugeukia.Tanzania ndio ya kusaidia ku-balance wote likitokea la kutokea wakenya,waganda,wanyarwanda waweza tumia routes za reli,barabara au bandari za tanga na Dar kufikiana just in case likitokea la kutokea kati yao na mihasira yao.Ndio maana mifumo yote ya miundo mbinu ilibidi ihusishe Nchi zote za Afrika Mashariki ikwemo Tanzania.Wakiwekeza sana nchi zao hizo tu political Risks zao ni kubwa waweza jikuta matatizoni likiibuka la kuibuka kati yao.
Kukosa PLAN B kwa ku-ignore Tanzania ni at their own risk.Katika huo uhusiano wote wako katika risk.Tanzania ndio neutralizer wa wote.Wakiiacha mbele sijui watakimbilia wapi.
pamoja sana mkuu. Sasa naweza unga mkono hoja the great lakes federation...... Tanzania, burundi na congo
Kwa namna ambavyo Ubeligiji ilitumia ile falsafa ya divide and rule, ni kwamba Burundi ina wahutu wengi lakini Wabeligiji waliwafanya watusi watawala na huko Rwanda watusi ni wengi lakini wahutu walifanywa watawala!
Baada ya mapinduzi sasa wahutu wanatawala Burundi (Pierre Nkuruzinza) na watusi ni watawala Rwanda (Paul Kagame)!
Plan B.
Tanzania,Burundi na Congo zianzishe community yao "The Great Lake Community" na baadae inaweza kuwa Federation.Tanzania iwatimue wafanyakazi wote wa Uganda,Kenya na Rwanda walioko makao makuu ya EA Arusha wawereplace na wafanyakazi wa Congo watakaoungana na watazania na burundi.
Community hii itakuwa na utajiri mkubwa wa natural resources kuanzia madini,ardhi,misitu na idadi kubwa ya watu kuliko EA.
Mwongo mkubwa weee!! Kama hujui uliza wakujuze!hii analysis yako siyo kweli, population ya watusi haizidi asilimia 15 katika nchi za rwanda na burundi.wabelgiji kosa walilofanya ni kuwatumia watusi kama viranja au matarishi wakati wa uongozi wao kwa pande zote mbili!!!!!
Pamoja sana Mkuu. Sasa naweza unga mkono hoja the Great Lakes Federation...... Tanzania, Burundi na Congo