Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,218
- 79,469
Mlitaka jaribu huu upuuzi Loliondo mkatulizwa!Hawa wafugaji wa kipokot sio watu wazuri kabisa, nadhani ilifaa iwe 'disarmament' ya kwa pamoja, pande zote mbili za Kenya na U.G. Karamajong wa U.G ndio walikuwa wanawauzia waturkana silaha, ambazo wao walikuwa wanazitoa S.Sudan. Unavuka boda na ngombe mmoja unarudi na AK-47. Sasa wakaramajong wamepokonywa zao na wamebaki 'vulnerable'. Ni jambo nzuri kwamba mazoea yao ya kuingia Kenya kuiba mifugo ya wapokot yatapungua ila adui zao wa damu wapokot wanavopenda visasi utulivu wa kudumu kwenye mpaka hautapatikana hivi karibuni.