Uganda issues Shoot to Kill orders for kenyan Pastrolists who cross the border into Uganda

Hawa wafugaji wa kipokot sio watu wazuri kabisa, nadhani ilifaa iwe 'disarmament' ya kwa pamoja, pande zote mbili za Kenya na U.G. Karamajong wa U.G ndio walikuwa wanawauzia waturkana silaha, ambazo wao walikuwa wanazitoa S.Sudan. Unavuka boda na ngombe mmoja unarudi na AK-47. Sasa wakaramajong wamepokonywa zao na wamebaki 'vulnerable'. Ni jambo nzuri kwamba mazoea yao ya kuingia Kenya kuiba mifugo ya wapokot yatapungua ila adui zao wa damu wapokot wanavopenda visasi utulivu wa kudumu kwenye mpaka hautapatikana hivi karibuni.
Mlitaka jaribu huu upuuzi Loliondo mkatulizwa!
 
Ndio, soma taarifa na maneno ya huyo waziri kwanza sio unaanza tu na comment yangu. Au umepumbazwa na kichwa cha mada ambacho hakiendani na taarifa? ..... any Kenyan pastrolist who enters the country while armed. Hao Karamajong walichofanya nikupokonywa bunduki zote na serikali ya Uganda, wao wenyewe walikuwa wanaingia Kenya kuiba mifugo na hadi wanaua. Hizi jamii tatu za Pokot, Turkana na Karamajong(U.G.) kwao wizi wa mifugo ni utamaduni wao. Tena kwao ni sifa, vijana wakifika umri wa kuwa wanaume lazima wakaibe, wakioa, hivyo hivyo.
Huu muungano wetu una shida sana!!!!
kauli kama ilivyo tayari ina utata sababu:
-1Kumjua cattle rustler ni mpaka aibe.
-2.Je,Utatofautishaje kama mfugaji wa kenya ambaye siyo cattle restler ana bunduki ya kujilinda na mifugo yake,hii ingekuwa sawa kama upande wa kenya nao wame disarm.
-3.Kwa kauli hiyo wanaolinda huo mpaka wanaweza kuchukua kama fursa ya kujinufaisha na dhuruma
-4.zoezi lina ugumu cause mipaka haina alama sehemu zote.hapa tunarudi kulekule kwenye kujua mipaka kama ilivyo ziwani
 
Hapa kunashida sababu hao bandit kutoka pokot ni vichwa maji na tena kifo ni kitu cha kaiwada sana kwao.....sasa itabidi wasuruhishe haya mambo na waganda bila ya vita sababu raia wa mipakani ndio wataumia

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ni lazima disarmament ifanyike ug na kenya.
Ni lazima kuendeleza control ya uvushaji wa silaha toka sudani la svyo dawa bado kwani upande mmoja utafanya vita ya kushtukiza.
 
Kumbe na wavuvi wenu wanaoiba SAMAKI wetu no kushoot tu
Ndio, soma taarifa na maneno ya huyo waziri kwanza sio unaanza tu na comment yangu. Au umepumbazwa na kichwa cha mada ambacho hakiendani na taarifa? ..... any Kenyan pastrolist who enters the country while armed. Hao Karamajong walichofanya nikupokonywa bunduki zote na serikali ya Uganda, wao wenyewe walikuwa wanaingia Kenya kuiba mifugo na hadi wanaua. Hizi jamii tatu za Pokot, Turkana na Karamajong(U.G.) kwao wizi wa mifugo ni utamaduni wao. Tena kwao ni sifa, vijana wakifika umri wa kuwa wanaume lazima wakaibe, wakioa, hivyo hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama mtu apo na bunduki, suluhu sio kupiga risasi..Huu ni unyama wa ajabu..Tanzania hata ukipatikana na mabomu unapelekwa kortini unajibu mashtaka..Yaani Magufuli ni mtu aliye na utu rohoni yake..Hawezi toa amri kama hii akilenga binadamu kama yeye


Kweli mkuu, kama vile Jiwe anasema hapa!!! 🙄🙄
 
Ukiona nyang'au piga risasi..Huu urafiki bandia afadhali tukimbilie kwa uncle magu..
Unyama na roho chafu kama hii hapana..Tusidanganyane
 
Kweli kabisa, kuna siku Jiwe alisikia kwamba kuna vifaranga vimetiwa moto pale Namanga aisee alihuzunika sana hakula kwa siku tatu. Hata zile habari za bill kubwa ya Tundu Lissu pale hospitalini Nairobi ilimpa vidonda vya Tumbo. Mzee ana roho nyeupe kama pamba ni kama malaika aliyetua duniani dakika hii hii kutoka mbinguni.
Hahahaaa!, za uso nazo?.
 
Museveni hataki nyangau kwake. Angalau jiwe anawashika wavuvi na kuwashtaki pamoja na kuchoma vifaranga vilivyo na magonjwa kutoka kenya..

Hii amri ya museveni imepita mipaka afadhali uncle magu yeye na utu
====

A Ugandan minister has given a shoot-to-kill order against any Kenyan pastoralist who enters the country while armed.

The State Minister for Karamoja Affairs, Mr Moses Kizige, gave the order to Uganda People’s Defence Forces (UPDF) in Amudat during the celebrations to mark National Resistance Movement day on January 26.

He said that while the government had disarmed Karimojong warriors, their peace was being threatened by armed Pokot and Turkana cattle rustlers from Kenya and South Sudan.

“The government didn’t disarm the Karimojong to allow armed pastoralists from neighbouring countries to disturb them. We shall now start killing them to save the lives of our harmless people in Karamoja,” he said.
Mr Kizige, however, said that Uganda was ready to help disciplined neighbours.

The celebrations under the theme: “A moment of glory that set a new chapter for unity, peace and prosperity in Uganda,” were the first to be held in Amudat District.

Amudat Resident District Commissioner Robert Adyama urged leaders to respect national functions.
He said that through such functions, the public remained informed on government policies.

Source: Daily Monitor
Jiwe mwenzako hata wananchi mkifa mfe tu yeye hataki tu kukoselewa, kwake hata wananchi wakifa we pongeza tu hapo atakuelewa.
 
Back
Top Bottom