Uganda imepiga marufuku michezo ya kamari na Kampuni za michezo hiyo hazitapewa tena kibali

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Rais Museveni amesema kucheza Kamari kumewafanya vijana waache kufanya kazi kwa bidii

Ameagiza kusitishwa kutolewa vibali kwa kampuni mpya zinazoendesha michezo ya kamari au vibali vipya kwa kampuni zilizopo wakati vibali vyao vikiisha muda
======

Museveni says gambling has diverted attention of the youth from hard work.

Uganda's President Yoweri Museveni has ordered that no new licences should be issued to sports betting companies nor renewing of permits for the existing ones.

According to Minister of State for Finance, Mr David Bahati, the President gave the directive saying that gambling has diverted attention of the youth from hard work.

“We have received a directive from President Museveni to stop licensing sports betting, gaming and gambling companies. The President has now directed the board which has been regulating them. From now onwards, no new companies are going to be licensed. Those which are already registered, no renewal of licences when they expire,” Mr Bahati revealed on Sunday during a church service in Rugarama Hill in western Kabale town.

Mr Bahati said church leaders who have been against sports betting can now praise the Lord because their prayers have been answered.

However, the Ministry of Finance spokesman, Mr Jim Mugunga, said he was unaware of the president's directive but added that he does not doubt it.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wa Uganda, Youweri Museveni amepiga marufuku michezo ya kubashiri (betting) nchini humo, kwa madai kuwa yameathiri nguvu kazi ya taifa kwani vijana hawafanyi kazi kwa bidii tena. Amegiza kutotolewa kwa leseni mpya, au kuhuishwa leseni za makampuni ambayo tayari yana leseni.
=========​

Uganda bans sports betting

Uganda's President Yoweri Museveni has ordered that no new licences should be issued to sports betting companies nor renewing of permits for the existing ones.

According to Minister of State for Finance, Mr David Bahati, the President gave the directive saying that gambling has diverted attention of the youth from hard work.

“We have received a directive from President Museveni to stop licensing sports betting, gaming and gambling companies. The President has now directed the board which has been regulating them. From now onwards, no new companies are going to be licensed. Those which are already registered, no renewal of licences when they expire,” Mr Bahati revealed on Sunday during a church service in Rugarama Hill in western Kabale town.

Mr Bahati said church leaders who have been against sports betting can now praise the Lord because their prayers have been answered.
However, the Ministry of Finance spokesman, Mr Jim Mugunga, said he was unaware of the president's directive but added that he does not doubt it.
 
Matatizo memgi yanasababishwa na mifumo ya elimu, Africa hata siku moja mchawi hatapatikana mpaka kukuche kwenye mifumo ya elimu yetu.

bugs
 
Yaani Mr. Bahati, Waziri wa Fedha wa Uganda naye anashabikia michezo ya kuBahatisha ifungiwe na anawapa ujumbe viongozi wa makanisa wamshukuru Mungu kwa kuwa maombi yao yamesikilizwa! Inapendeza.
 
Tatizo ana poor thinking capacity tuu,kwani ni vijana tuu hucheza hiyo michezo?,hiyo michezo huchezwa hata na watu wa makamo wenye majukumu yao,na wao hucheza kama burudani tuu kupata buku buku za viatu wala si kwa kujitajirisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom