The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 5,082
- 20,805
Dunia inahama kwenye mfumo wa mitihani, ni jambo la muda tu hata huku tutafuata msululu.Mitihani haifutiki wameahirisha tu.Sababu kujiunga chuo kikuu masna yake lazima mtu Afanye mtihani kuwachuja na kujua uwezo wao
Lakini pia wanajiweka kwenye matatizo kuwa labda wasome vyao vikuu time wasije Tanzania and kwenda Kenya nk ambako kujiunga mtu huyakiwa aonyeshe ufauli wake secondary
Kenya wanalamika walimu umeongeza kazi kwa walimu sababu unatakiwa kusimamia project ya kila mtoto na kuandika riporto daily.Mwalimu anakuwa Kama supervisor wa projects za watoto.Fikiria darasa Lina watoto arobainiDunia inahama kwenye mfumo wa mitihani, ni jambo la muda tu hata huku tutafuata msululu.
Mfumo wa mitihani ni mfumo ambao unapitwa na wakati.
Hiyo ni nzuri zaidi, ndio ambayo India, Singapore, Taiwan, Shang'ai, Finland, Denmark na nchi kadhaa wanatekeleza, ku- impact soft skills kwa watoto na kuwasaidia kujua talents zao kuliko hii ya kusoma ili ufaulu mitihani.Kenya wanalamika walimu umeongeza kazi kwa walimu sababu unatakiwa kusimamia project ya kila mtoto na kuandika riporto daily.Mwalimu anakuwa Kama supervisor wa projects za watoto.Fikiria darasa Lina watoto arobaini
Unapimaje uelewa bila mtihani, process ya uelewa ni pamoja na kufaulu mtihani unaotokana na kile ulichofundishwa ukielewe
Fuatilia elimu ya Finland, India na Taiwan. Hata hapo Kenya nadhani, japo sina hakika.Unapimaje uelewa bila mtihani, process ya uelewa ni pamoja na kufaulu mtihani unaotokana na kile ulichofundishwa ukielewe
Hujaelewa, hebu soma tena. Au tafuta mkalimaniKatika kutelekeza mabadiliko ya mfumo wa elimu unaoendana na mabadiliko ya sasa, serikali ya Uganda imetangaza mtaala mpya ambao umefuta mitihani kuanzia ya darasani hadi ya Tafa kwa wanafunzi wa form one hadi form four.
Duniani kwa sasa nchi nyingi zinafuta mfumo wa mitihani kwa sababu mwanafunzi anajifunza ili kufaulu mitihani na sio kuelewa na kua hauendani na mabadiliko ya sasa ya kiteknolojia. Hii pia itaondolea watoto msongo wa mawazo wa home work, assignment na kutembea wamebeba mabegi makubwa.
Binafsi naungana waganda, mfumo wa kusomea mitihani ni mfumo wa hovyo sana.
Government abolishes end of term exams in schools
Ila mtoto anakuwa na kazi za kufa mtu.Fikiria masomo.yako Saba halafu yote ana projects za kuyafanyia kila siku.kichwa na afya vinatakiwa kuwa vizuriFuatilia elimu ya Finland, India na Taiwan. Hata hapo Kenya nadhani, japo sina hakika.
Kipimo cha elimu hakipimwi kwa mtihani kuimpact skills ni jambo muhimu kwa watu wote. Kuliko karatasi unayikalili bila kuelewa ilimradi tu, ujibu mtihani.