Uganda hails China’s Sh860 billion loan for E.Africa railway

nyangau mkenya

JF-Expert Member
Mar 26, 2015
1,056
1,296
Uganda hails China’s Sh860 billion loan for E.Africa railway

Uganda has welcomed China’s ‘‘generous’’ Sh860billion loan to three East African countries for the construction of a hi-speed standard gauge railway from Mombasa to Kigali.

Uganda Works and Transport minister Monica Azuba welcomed China’s Sh370 billion loan to Kenya for the Naivasha-Malaba section saying Uganda had also sought Sh236.5 billion for the 273kilometre Malaba-Kampala section.

“Construction of the 273 kilometre standard gauge railway from Malaba to Kampala is starting this year. Not expected but starting,” she said in a tweet posted on the ministry’s website.

The comments follow President Uhuru Kenyatta’s disclosure that China’s Exim Bank had agreed to inject Sh370 billion in the Naivasha-Malaba railway which is expected to be constructed at the same time with the Malaba-Kampala line for the next 40 months.

While China Road and Bridge Construction is undertaking Kenya’s second phase from Nairobi to Naivasha, Uganda has contracted China Harbour Engineering Company to build the Malaba-Kampala line.

The disclosures come hardly a week before Kenya commissions the Sh327 billion Mombasa-Nairobi SGR project which will see passenger travel time between the two cities reduce from 10 hours by bus to four and a half by train, while cargo transit time will reduce to eight hours from the traditional four days by truck.

Rwanda’s High Commissioner to Kenya James Kimonyo has confirmed that the country is seeking Sh123.5 billion from China’s Exim Bank for construction of their section to Kigali.

continued on link....

Uganda hails China’s Sh860 billion loan for E.Africa railway

DAa7ldKXkAAH6Gy.jpg
 
Kashtuka baada ya kuona ya kwetu maneno mengi bila vitendo.. na itakuwa ile ziara ya Zuma kupigwa kirungu ndio koona aendelee na kenyata tu mtu wa vitendo na utu kwa wapatao majanga kama kagera na saint vicent
 
hv kwanini wakenya wako the most hateful people in africa baada ya wanigeria? but why? sijawahi kukutana na mkenya bora ya yule. Hv nyinyi watu mpo wa kawaida kweli?
 
Nilishasema na nitasema tena, kwamba mtakutana kwenye vikao, mtakenua meno, mtaongea yote lakini mwisho wa siku mnarudi kwa baba Kenya. So, come to papa guys, hapa kwetu ni vitendo, hapa kwetu ni kazi, hapa kwetu ni kasi....huwa hatutishwi na maneno ya kwenye kanga.
 
Kenya kwa tambo hawajambo...

Masikini majizi
 
watanzania kueni wapole...hakuna mtu ana wachukia.ni kama vile mlivyotutambia baada ya kunyakua lile bomba la mafuta.hakuna mkenya alisema mnachuki hata baada ya kuturingishia kila mahali..ebu acheni kulialia
 
Daaah! Punguzeni majungu! Ila kwamba wa Bongo walituringishia kwa nia yakutuzingua kwa vijambo kwenya kanga, haina haja kuwarushia cheche aila hii, ni Jirani zetu.

Pili wajua kwa ujirani mwema, ipo siku SGR pogo moja itaingia kule Arusha toka Voi hadi kule Dodoma!

Kheri maelewano hapa kama watu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Kwa Kenya, kitu wazi ni kwamba, mbio tunayo, miaka miwili tutakuwa tumenyakua Africa ya Kati na Demokrasia ya Congo, si Uganda tu! halina mjadala hilo. Maana kabla Reli itoke Dar hadi Mwanza, Wallahi itakuwa karne kadhaa zijazo, kwa hakika
 
Siku mbili zijazo tutasiki wakenya mnamwaga matusi kwa Museveni. Wakenya sio wa kuaminika kabisa.
 
Siku mbili zijazo tutasiki wakenya mnamwaga matusi kwa Museveni. Wakenya sio wa kuaminika kabisa.
kwahivyo ata akifanya yasiyostahili tujichekeshe tu kisa na maana anajenga reli itakayoungana na kenya?....sio favour ametupatia.Alichagua kenya kwa sababu zake mwenyewe akijua kuna faida atapata.Am very sure akifanya uboya tutatukana tena sana ajue amekosea na sio kumchekeachekea kisa reli
 
Kama yapi ambayo yasiyo stahili? Mtu ana uhuru wa kubadilisha mawazo yake. Anaweza kuamua leo napita Kenya, kesho akasema no, napita njia nyingine, kosa liko wapi hapo?
 
Back
Top Bottom