This would be nice, it is probably a combination of genetics and environment, but to me whether it is genetic or not is immaterial.Kila mtu anaishi anavyotaka mwenyewe, kama hajakuingilia katika anga zako why should it matter?
Waacheni wawe gay, waoane and all, waonje joto la ndoa, wa divorce, labda watachoka na kurudi kuwa straight. lakini as long as mnafanya kuwa gay ni such an otherwordly phenomenon kuna watu wanataka kuwa kwenye counter culture tu, mainstream society ikiwa straight, wao wanataka kuwa gay.I bet mainstream society ikiamua kuwa gay yote kesho wao watataka kuwa straight.
Kuna mchizi mmoja anasema yeye anavuta bangi kwa sababu imekatazwa, na siku ikiruhusiwa tu anaacha, kwa sababu inapoteza value ya kuwa kitu kilichokatazwa.
Kama hupendi the gay lifestyle, the best way to fight it is to let it be and allow it to co-exist with mainstream society, utaona watu watakavyoona illicit appeal ya kuwa gay itakavyoondoka.