Kipepeo mtoto analia;
"Mama alikuja kama mtetezi wetu kutoka kwenye manyanyaso ya mama yetu wa kambo, kumbe mama yetu wa kutuzaa kabisa tumegundua ndiye mbaya wetu halisi kuliko yule wa kambo.
Tunawaza bora tungebaki kwa mama wa kambo, tulikula vizuri, tulishiba na kuvaa vizuri"