Ni kweli mkuu,tena nadhani jamaa alidhamiria Kama vinne ila sky ndo kaharibu mchongo.πVile viugali vya mama ntilie hata ukivila 5 siyo dhambi.
Marekani napo Kuna mama -ntilie
kwani umama unaanzia miaka mingapiRRONDO you need glasses, yule alikuwa mdada matured hajafikia u mamaπππ
Eeh!mama ntilie si ndo wanagawa chakula kingiVile viugali vya mama ntilie hata ukivila 5 siyo dhambi.
'umbo lake la kawaida sana' waogope sana hawa kwa kuficha msosi...Jana muda wa lunch nilikuwa city centre. Kuna mama ntilie anauza chakula kitamu sana pale city. Licha ya machalari, chapati kuku wa kienyeji na mchicha huwa ninapenda maharage yake ya nazi yanachanganywa na dagaa wakavu.
Basi jana muda wa kula aliingia kijana mmoja hivi. Akiwa na uniforms inaonekana ni bank telly was bank moja kubwa hapa mjini. Alivaa koti kustiri shati lakini wambea tulistuka. Nikaangalia tarehe nikahungundua kuwa ni zile tarehe ambazo wote mjini tunaheshimiana.
Kaka aliagiza ugali mchicha na samaki wa kukaanga. Aliletewa sato medium size hivi, alimpiga tararibu kutahamaki anaagiza ugali sahani ya pili. Umri wake utakuwa 28-30 yrs na umbo lake la kawaida sana, hana hata kitambi.
Nimekupigia salute kijana
Mh! Kwa ugali ule wa mama ntilie?! Karibu kwangu, nikipika ugali kilo 1 nagonga hata ukiwa mkavu, karibu siku moja uje ujioneeJana muda wa lunch nilikuwa city centre. Kuna mama ntilie anauza chakula kitamu sana pale city. Licha ya machalari, chapati kuku wa kienyeji na mchicha huwa ninapenda maharage yake ya nazi yanachanganywa na dagaa wakavu.
Basi jana muda wa kula aliingia kijana mmoja hivi. Akiwa na uniforms inaonekana ni bank telly was bank moja kubwa hapa mjini. Alivaa koti kustiri shati lakini wambea tulistuka. Nikaangalia tarehe nikahungundua kuwa ni zile tarehe ambazo wote mjini tunaheshimiana.
Kaka aliagiza ugali mchicha na samaki wa kukaanga. Aliletewa sato medium size hivi, alimpiga tararibu kutahamaki anaagiza ugali sahani ya pili. Umri wake utakuwa 28-30 yrs na umbo lake la kawaida sana, hana hata kitambi.
Nimekupigia salute kijana
Unaambiwa ni large surface area to volume ratio(small sized organisms consume a lot of energy compare to those large ones)'umbo lake la kawaida sana' waogope sana hawa kwa kuficha msosi...