GoldDhahabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2023 Posts 7,645 Reaction score 10,867 Dec 10, 2024 Thread starter #21 Moisemusajiografii said: Chagua moja.Kuandika katiba kwa siku saba bila kula au kula siku saba mfululizo ili uvute muda wa kuandika katiba.Choose one,leave one! Click to expand... Watu walikuwa wakila na kunywa hata kabla hakujakuweko kwa katiba iliyoandikwa! Watu walikuwa wakila na kunywa, na pengine hata na kusaza kabla Tanganyika haijapata uhuru! Lakini kwa kuwa watu si ng'ombe ambao huridhishwa kwa kula na kunywa, walihitaji uhuru ili waweze kujitawala. Katiba bora ya wananchi ndiyo itimizayo ile dhana ya kujitawala!
Moisemusajiografii said: Chagua moja.Kuandika katiba kwa siku saba bila kula au kula siku saba mfululizo ili uvute muda wa kuandika katiba.Choose one,leave one! Click to expand... Watu walikuwa wakila na kunywa hata kabla hakujakuweko kwa katiba iliyoandikwa! Watu walikuwa wakila na kunywa, na pengine hata na kusaza kabla Tanganyika haijapata uhuru! Lakini kwa kuwa watu si ng'ombe ambao huridhishwa kwa kula na kunywa, walihitaji uhuru ili waweze kujitawala. Katiba bora ya wananchi ndiyo itimizayo ile dhana ya kujitawala!
SYLLOGIST! JF-Expert Member Joined Dec 28, 2007 Posts 8,853 Reaction score 8,252 Dec 10, 2024 #22 Ugali ni Chakula. Katiba sio Chakula Haya, mkale hiyo Katiba basi. Kha Kula Ugali Mwanaume. Katiba haileti Chakula mezani. Period. Tusidanganyane
Ugali ni Chakula. Katiba sio Chakula Haya, mkale hiyo Katiba basi. Kha Kula Ugali Mwanaume. Katiba haileti Chakula mezani. Period. Tusidanganyane