Ugali ni bora kuliko katiba?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,645
Reaction score
10,867
Alipokuwa akiapa kushika nafasi ya juu nchini, aliapa kulinda katiba na si ugali!

Alipowaapisha viongozi aliowateua, hawakuapa kuhakikisha kuwa ugali unapatikana bali kuilinda katiba!

Iweje basi waseme katiba haileti ugali mezani pindi wanapoombwa katiba inayokidhi mahitaji ya wengi?
 
Chagua moja.Kuandika katiba kwa siku saba bila kula au kula siku saba mfululizo ili uvute muda wa kuandika katiba.Choose one,leave one!
 
katiba si kipaumbele cha wananchi wa Tanzania kwa sasa,

wananchi wananhitaji maji safi na salama, huduma bora na za uhakika za afaya, umeme, elimu, usafirishaji, kilimo, uvuvi, ufugaji n.k


huenda hicho ni kipaumbele cha caha mfulani cha siasa chenye njaa ya ugali ambacho suluhisho lake ni kulima kwa bidii ili ugali wa uhakika uwe mezani
 
ugali unaletwa na katiba, bila katiba ugali utakujaje?
 
ugali unaletwa na katiba, bila katiba ugali utakujaje?
 
ugali unaletwa na katiba, bila katiba ugali utakujaje?
 
🚮
Katiba kwanza
 
Ni tabia za watu walioshindwa kufata masharti ya katiba
 
Ni tabia za watu walioshindwa kufata masharti ya katiba
maamuzi ya chama chenu yanayochochewa na vilevi mnavyovitumia kwenye vikao vyenu yawasaidie ninyi wenyewe ndani ya chama chenu na sio kuleta fujo kwa wananchi,

hapana kusumbua wasio husika na mawenge yenu ndani ya chama chenu tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…