Pamoja na madaktari kutahadharisha hatari ya kuweka vyakula kwenye mifuko ya plastiki kutokana na uwezekano mkubwa wa kupata ugonjwa wa saratani,bado utaratibu huu umeendelea hasa kwa mama ntilie,migahawa na majiko mengi kwenye mabaa.Hivi nani hasa wenye jukumu la kusimamia hili?