Ugali Kwa Mlenda

Hapo mjomba unaweza kula ndoo ya ugali peke yako bila kujijua!
 
Labda kuwe na mboga nyingne pembeni
 
Pamoja na kuzaliwa mjini nimekuwa nkipata shida sana kutumia mlenda na hii inatokana na asili ya wanyakyusa kutofahamu aina ya hizi mboga hasa mlenda
 
Pamoja na kuzaliwa mjini nimekuwa nkipata shida sana kutumia mlenda na hii inatokana na asili ya wanyakyusa kutofahamu aina ya hizi mboga hasa mlenda
 
Jamani mlenda ni kitu kimoja nisichokitumia maishani kwa kutokukipenda basi...
 
nilikula mara moja, nikatapika sijawahi kula tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…