hahaha mboga haijanivutiaha ha ha ha kwa nini
hapo umefanya la maana sana. hiyo nyuma ni nini?
hapo umefanya la maana sana. hiyo nyuma ni nini?
teh teh teh huo mzigo duuhha ha ha ha ngoja aje MziziMkavu anajua jina lake na matumizi yake
Mkuu mfilisti Dahh Huyu si Mbuzi wa Kikatoliki jamani mkubwa sana. Analeta woga sana.
Hatari sana huyo Mbuzi wa Kikatoliki aka Mnyama wa Taifa...............ha ha ha ha ngoja aje MziziMkavu anajua jina lake na matumizi yake
mkuu hebu msaidie Th Name anataka ajue ni kitu gani hicho kilicho ning'ininia nyuma ya huyo mbuzi wa kikatoliki
mkuu hebu msaidie Th Name anataka ajue ni kitu gani hicho kilicho ning'ininia nyuma ya huyo mbuzi wa kikatoliki