NONDAEcholima.
Huu ndio mchango wako?
Kwa nini umefikia hitimisho kuwa naichukia Marekani?
Nilichofanya mimi ni kudondoa kutoka vyanzo tofauti, video au mada zinanazokushawishi kuwa Marekani wanafanya ugaidi na kusingizia wengine kwa lengo la kutanua himaya yao.
Kama una vyanzo vya taarifa au video, weka hapa na onesha kuwa US hawafanyi ugaidi au hawatanui himaya yao kwa kutumia ugaidi.
Unaelewa maana ya chuki?
Watu wengine hawawezi kuhimili kusikia ukweli.
Hata kwa tafsiri yako kuwa mimi nimeleta mada au mjadala, hakuna ambaye amezuiliwa kuandika maoni yake vile apendavyo. Badala ya kutaka malumbano ya chuki/mapenzi nami ungeweka machango wako kama kuisafisha US au vyenginevyo.Chagua moja kati ya hizo 20 ulizoziona na toa maoni yako.
Kwa mfano, tetea uwepo wa AFRICOM katika nchi za Afrika(Bara la Afrika) au onesha madhahara ya uwepo wake kwa Afrika.
Karibu mkuu.
NONDA
Nimefatilia sana post zako nyingi sana kama si zote umekuwa mstari wa mbele kuishambulia Marekani na wala si Iran...
ila Mmarekani ndiye mwenye Mafyuzi pekee yake lazima na wewe uwe FAIR.
Sitapenda kusema au kukuunga mkono maana wewe huko FAIR unapendelea watu fulani au nchi fulani na unachukia nchi fulani fulani kwa maslahi yako Binafsi keep-it-down.
Angalia hii video, kuna mdada anapasua kioo cha r/luninga(TV)NONDA
Nimefatilia sana post zako nyingi sana......... kama si zote umekuwa mstari wa mbele kuishambulia Marekani na wala si Iran kutaka kukwepa vikwazo ilivyowekewa na Umoja wa mataifa kwa kushawishi meli zake zipeperushe Bendera ya taifa lingine .........
Sitapenda kusema au kukuunga mkono maana wewe huko FAIR unapendelea watu fulani au nchi fulani na unachukia nchi fulani fulani kwa maslahi yako Binafsi keep-it-down.
Mkuu pole sana na Link wameshainyofoa kama kawaida!!! hayo ndiyo hayahitajiki kujulikana, na wapo hata wakiona hiyo video watakataa na kusema wanasingiziwa! yaani...! Hapa ndipo ninapomkumbukaga Nyerere saa zingine.Wakuu.
Kuna hizi videos zinazokushawishi uamini US ni magaidi at the true sense of the word!
Kuna mipango mingi hufanyika nyuma ya jukwaa la siasa la kuhakikisha US anaweka bases zake katika nchi tofauti duniani.
Mbinu moja ni kuanzisha vita kwa visingizio kama vile vya Iraq na Afghanistan kwa karibuni, lakini pia kupitia intervensions kama hizi za Libya na kuwait.
Pia huwa wanapiga ofisi zao mabomu, au meli zao za kivita na halafu huwasingizia watu , nchi, au vikundi vyengine ili kuunda visingizio vya kuzivamia au kujiingiza katika nchi hizo.
Mbinu ya nipe nikupe pia hutumika. Kama kuwarubuni viongozi wa nchi ambayo US wanataka kitu hapo au kutoa misaada iliyonona na mikubwa kwa matarajio ya kuvuna zaidi siku za usoni.
Katika nchi kama Yemen waliripua meli ya kivita,(manoari) na halafu wameingia Yemen kwa kisingizio cha kuwapiga na kuwatokomeza Al-qaeda.
Tanzania na kenya wameripua balozi zao na wanatoa misaada mikubwa huku wakijitayarisha kwa shughuli zao za baadae, mafuta ya Uganda yapate urahisi wa kusafirishwa na makampuni yao yapate nafasi ya kukomba rasilimali.
[video=google;7866929448192753501]http://video.google.com/videoplay?docid=7866929448192753501#[/video]
Mkuu pole sana na Link wameshainyofoa kama kawaida!!! hayo ndiyo hayahitajiki kujulikana, na wapo hata wakiona hiyo video watakataa na kusema wanasingiziwa! yaani...! Hapa ndipo ninapomkumbukaga Nyerere saa zingine.
Lete Hoja kupinga Hoja mkuu! hapa hakuna mtu anapost kitu kuungwa mkono au kusifiwa la, ni ukumbi wa majadiliano kama una hoja weka hoja ipinge hoja watu wapime!NONDA
Nimefatilia sana post zako nyingi sana kama si zote umekuwa mstari wa mbele kuishambulia Marekani na wala si Iran kutaka kukwepa vikwazo ilivyowekewa na Umoja wa mataifa kwa kushawishi meli zake zipeperushe Bendera ya taifa lingine ili kukwepa vikwazo hivyo kusababisha nchi zingine zionekane zinashirikiana nayo kukwepa vikwazo.
Hiyo chuki dhidi ya marekani hujaianza leo nionavyo mimi yawezekana kabisa unaongozwa na hisia fulani sijaona hata post yako moja ambayo unalaani vitendo vinavyofanywa na nchi yoyote utafikiri anayejamba ni Mmarekani peke yake mbona hata wengine hujamba mbona huwasemi??????ila Mmarekani ndiye mwenye Mafyuzi pekee yake lazima na wewe uwe FAIR.
Sitapenda kusema au kukuunga mkono maana wewe huko FAIR unapendelea watu fulani au nchi fulani na unachukia nchi fulani fulani kwa maslahi yako Binafsi keep-it-down.
NONDA
Nimefatilia sana post zako nyingi sana... Iran kutaka kukwepa vikwazo ilivyowekewa na Umoja wa mataifa kwa kushawishi meli zake zipeperushe Bendera ya taifa lingine ili kukwepa vikwazo hivyo kusababisha nchi zingine zionekane zinashirikiana nayo kukwepa vikwazo.
....unachukia nchi fulani fulani kwa maslahi yako Binafsi keep-it-down.
Mkuu pole sana na Link wameshainyofoa kama kawaida!!! hayo ndiyo hayahitajiki kujulikana, na wapo hata wakiona hiyo video watakataa na kusema wanasingiziwa! yaani...! Hapa ndipo ninapomkumbukaga Nyerere saa zingine.
Kila uongo huwa unayo nafsi ya kujulikana... na hapo ndipo nnaposema pia AKILI ZINGINE HIZI! Huwa zinawapofusha watu, hata uongo wanaweza kuutetea ili mradi BWANA aridhike! na Bwana mwenyewe huwa haridhiki kwa sababu anatazama maslahi yake...na midhali kina ninyi mgalipo ATAENDELEA KUWA KAMA ALIVYO NANYI MTAENDELEA KUWA KAMA MLIVYO!! Je unajifanya hujui nini Kilitokea VIETNAM PIA? zile picha hazikutengenezwa pia? Na ukweli haukujulikana hatimae?Hizo video zipo youtube miaka mingi tu, yaelekea mmeziona leo, eti?
Hivi hata kama ni kweli, mnadhani wao ni wajinga kufanya mambo makubwa kama haya na kuacha mwanya wa kuonekana. Akili zingine hizi
Nonda acha chuki zako na video zako za kuunga-unga hapani Great-Thinkers.
Kadoda11mkuu nonda naona kama hii thread yako mabingwa wenzako wameisusia vile.post karibu zote ni za kwako mwenyewe.kulikoni mkuu?!
Hiki kiungo chengine VietnamNonda acha chuki zako na video zako za kuunga-unga hapani Great-Thinkers.
Nonda acha chuki zako na video zako za kuunga-unga hapani Great-Thinkers.