Ufunuo mkubwa duniani

Sasa hivi kuna lunar eclipse leo tarehe 7, sasa mnaoamini dunia tambalare tanaomba mtoe ufafanuzi kile kivuli au lile giza linalofunika mwezi sasa hivi limetoka wapi au ni nini kile!?
 
Sasa hivi kuna lunar eclipse leo tarehe 7, sasa mnaoamini dunia tambalare tanaomba mtoe ufafanuzi kile kivuli au lile giza linalofunika mwezi sasa hivi limetoka wapi au ni nini kile!?
Shule ulifundishwa hicho unachokiona kwenye mwezi ni kivuli cha nini?
 
Cha dunia... Sasa nashindwa kuelewa kama dunia tambalare je? kile kivuli pale kimefikaje ilihali mwanga unasafari katika mstari mnyoofu.
 
Cha dunia... Sasa nashindwa kuelewa kama dunia tambalare je? kile kivuli pale kimefikaje ilihali mwanga unasafari katika mstari mnyoofu.
Na wewe ulivyofanya research zako umegundua kile ni kivuli cha nini? au ulivyofundishwa tu ilitosha kuhitimisha kwamba ni kivuli cha dunia?

Nauliza ili nijifunze tu hapa,..
 
Hii ni moja ya ushahidi kwamba dunia ni duara.

Mi nimetafakari saivi sangapi na jua limezama saangapi na upande gani limezamia pia kwa wakati huo mwezi ulikua upande gani... Nikagundua kwa kukadiria muda kwamba tangu jua lizame (kama matokeo ya dunia kujizungusha katika muhimili wake) mpaka hivi sasa litakua limefikia katikati ya uelekeo wa mwangaza wake straight moja kwa moja kwa dunia nilipo sasa, na kivuli chake kikanyooka straight mpaka mwezini na kuufunika mwezi taratibu kadri mjongeo wa Dunia unavyozidi kwenda na kwakua dunia ipo kwenye constant motion basi haada ya muda dunia itapishana na hizo object na kuharibu ule ulingano wao katika mstari mnyoofu na kuzababisha mwangaza wa jua upitilize moja kwa moja mpaka mwezini na hatimae tutashuhudia mwezi ukiangaza tena uanaangaza kwasababu unategemea mwangaza wa jua ili uuakisi nasisi tunapata mwanga wa jua ulioakisiwa na mwezi,(kama mwezi Ungekua unamwangaza wake basi wakati mwezi unapatwa basi ungekuwa na mwanga mkali zaidi ni kama kuwasha taa gizani) lakini kwanini ukipata ndio unafifia zaidi?

Na haihitaji bajeti kubwa wala kurusha maroketi ni unatafakari tu kwa unachokiana.
 
Na wewe ulivyofanya research zako umegundua kile ni kivuli cha nini? au ulivyofundishwa tu ilitosha kuhitimisha kwamba ni kivuli cha dunia?

Nauliza ili nijifunze tu hapa,..
Karibu hapo πŸ‘†πŸΎπŸ‘†πŸΎ
 
Na ule muunganiko wa wanaojifanya wanalinda Antarctica na kuzuia watu kuingia ama kupaa anga zake ni wahusika wakuu - mareptilians wana wa shetani na wa waliotupwa duniani... unaejua unajua

Asante REALITY ... K11 kanidokeza huku nilikuwa nimeanza mada hii hii ... naelewa yote haya na nimefurahi umeweka yote. Wabishi watabisha bila hata kusoma yote
 
Reactions: K11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…