Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Sawa mkuu. Na kusema kweli sina muda na hata nguvu za kufuatilia mada kama hii kwa kina maana naona kama ni kupoteza muda tu.Mkuu bado, hata mimi nilishandika mada nyingi sana tena muda sana na zipo intelligence hapa najaribu kuelezea terra firma /lands beyond ambazo kuna THE GREAT DOME huko ndo sehemu ambayo only souls cross na sio fallen angels,kama annunaki na custodians ambao breed zao ndo world ellites,najaribu kuonesha kuwa kinachokuja duniani ni hatari kuliko unachosikia au kukisoma hata ukiamini ni hidden knowledge,stage ya dunia imepangwa ikapangika na kuna njia ya kuchomoka,au unadhani naongelea tu umbo la dunia maana hilo nilijua nikiwa o level na now na three kids ,am trying to show you a bigger picture rather than an earth shape something deeply conscious and awakening USIDANDIE KIHIVYO
Hakuna kitu kinavuka 73miles/115 km kwenda above zote tumefanya na zime blast ,hizo projectile motion zenu ambazo mkifika 50 miles mnakunja corner mnasingizia mnatafuta horizontal speed kumbe mnaenda kuyatupa baharini just forget it ni utotoMh! wenzako wanaenda Kutengeneza hotel za huko juu we ndo kwanza upo zama za mawe za kati!.
Kama wanaficha unajua ni watu wangapi mpaka sasa wameshaenda huko na wanaona dunia ni tufe!, haya utalii wa anga huo hapo unakaribia kuanza kama ingekuwa wanaficha wasingeweza kuruhusu jambo kama hilo!..
Sayansi haina kiongozi hata wewe ukiamua unaweza Kutengeneza space ship na ukaituma huko juu ajabu watu wa earth flat hamnaga hata picha moja ya hiyo earth flat!..
chengine mnachokwama ni kwenye kufikiri ni jinsi gani vitu vina behave kwenye space isiyo na gravity na ambayo ina gravity!.. lakini ukiweza kuelewa hapo walahi swala la dunia kuwa tufe utaliona ni la kawaida sana!.
Tatizo sio hilo ,tatizo ni kwanini imekuwa hivi and its not a conspiracy na ukisikia something wanasema hivyo jua wanakupubaza uendelee kuwa kondoo,dunia si ya kikundi ni ya wote we must clear the humiditySawa mkuu. Na kusema kweli sina muda na hata nguvu za kufuatilia mada kama hii kwa kina maana naona kama ni kupoteza muda tu.
Endelea kuonyesha hizo conspiracies za hao world elites waliotuaminisha kuwa dunia ni duara ili watutawale kifikra wakati kitu ni tambarare kabisa. Nitafuta comment yangu ya mwanzo.
Kila la heri mkuu 🙏🏿
Huu ni uamuzi wa busara.Sawa mkuu. Na kusema kweli sina muda na hata nguvu za kufuatilia mada kama hii kwa kina maana naona kama ni kupoteza muda tu.
Endelea kuonyesha hizo conspiracies za hao world elites waliotuaminisha kuwa dunia ni duara ili watutawale kifikra wakati kitu ni tambarare kabisa. Nitafuta comment yangu ya mwanzo.
Kila la heri mkuu 🙏🏿
Elezea jua linazungukaje dunia kama ulivyoonyesha hapo kwenye hiyo picha video!.. elezea ni kivipi..?You cant run from REALITY i know how you feel but its not too late
I find this sooo boring.You cant run from REALITY i know how you feel but its not too late
Huyo ni mpuuzi anajulikana kitambo sana achana nae mkuuThibitisha "upuuzi" ukishindwa basi wewe ndo huo upuuzi maana ndicho ukionacho
Dunia ni celestial timepiece /divine machinery au tusemu ni kama saa ya mbinguni ,jua na mwezi ni two light bodies zenye mianga yake binafsi sio kama walivyopotosha kwa agenda zao wanazozijua ,kinachofanya izunguke ni electromagnetism jua ni positive/male/anode na mwezi ni negative/female/cathode ni kama jua na mwezi ni saa za mshale zinazotumia umeme na smaku ,tesla aliyefufua free energy ya enzi za tartaria alisema dunia nikama tesla coil motor,walimuua tafuta tesla patents soma vitabu vyake ni real genius ,so hizo light bodies huzunguka kwa electromagetic force,unaweza ukafanya experiment kama hiyo ya jua zipo ngoja ntakutaftia unikumbushe ,ndo maana sisi app yetu tunajua location ya jua na mwezi muda wowote ule kama sasa hivi ni 2;53 am angalia mwexi nje kama haupo hivyo half /gibious moon,globers hawaweziElezea jua linazungukaje dunia kama ulivyoonyesha hapo kwenye hiyo picha video!.. elezea ni kivipi..?
Sasa unasubiri nini huna hoja msalime tammuz hell nonsense.I find this sooo boring.
It is boring me to death.
I do not have time for this shit.
And if you bother me one more time, I will put you in my ignore list so I don't see any more of your crap.
Straight to ignore list.Sasa unasubiri nini huna hoja msalime tammuz hell nonsense.
Nilimwambia huyu globe atheist anayeamini alikuwa influenza-akawa amoeba-na amebaki na akili za tumbuli wa kale aliye evolve huko kama tumbuli mwenzake charles darwin anajutia sana kuwa na IQ Nzuri ya kucrame na siyo kuelemika nonsense.Straight to ignore list.
Mh! so dunia inapata wapi nguvu yakuendelea kushika vitu vilivyo kwenye uso wake..?Dunia ni celestial timepiece /divine machinery au tusemu ni kama saa ya mbinguni ,jua na mwezi ni two light bodies zenye mianga yake binafsi sio kama walivyopotosha kwa agenda zao wanazozijua ,kinachofanya izunguke ni electromagnetism jua ni positive/male/anode na mwezi ni negative/female/cathode ni kama jua na mwezi ni saa za mshale zinazotumia umeme na smaku ,tesla aliyefufua free energy ya enzi za tartaria alisema dunia nikama tesla coil motor,walimuua tafuta tesla patents soma vitabu vyake ni real genius ,so hizo light bodies huzunguka kwa electromagetic force,unaweza ukafanya experiment kama hiyo ya jua zipo ngoja ntakutaftia unikumbushe ,ndo maana sisi app yetu tunajua location ya jua na mwezi muda wowote ule kama sasa hivi ni 2;53 am angalia mwexi nje kama haupo hivyo half /gibious moon,globers hawaweziView attachment 3304583
Dunia ni kama sehemu ya motor iliyotulia na jua/mwezi nikama rotor inayozunguka kwa kutumia nguvu mbili umeme na smaku na kumbuka hizo ni plasma lights bodies ni taa nyepesi ambazo sio rocks kama wanavyomaanisha hapana,jua ina mwanga wamoto na mwezi una mwanga baridi.Maandiko mengine ya zamani husema ni divine mechanism -kuna divine force unknown operating them perfectlyMh! so dunia inapata wapi nguvu yakuendelea kushika vitu vilivyo kwenye uso wake..?
na nikivipi mwezi na jua havidondokei duniani..?
Kwa mujibu wa maelezo yako ya mzunguko wa jua na mwezi niambie ni kivipi mwezi huwa unaonekana full..?
Kama dunia ipo ktk namna hiyo ulivyoonyesha huko chini kabisa i mean upande wapili wadunia kuna nini.
KWA KUWA UMEKUWA MUUGWANA BASI WENZAKO WATAJUA UKWELI KUPITIA WEWE AHSANTE KWA PONGEZIMtoa mada naomba ukipata muda unifafanulie hii project inaitwa CERN maana Huwa naisoma lakini sielewi dhumuni lake hasa ni Nini, pongezi Kwa Uzi mzuri.
Wanadai wanatafuta chembechembe za msingi za maisha, lakini ukweli ni kwamba wanajaribu kufungua milango ya vipimo vya kiroho, kwa njia ya quantum vibration – vibration ambayo haishikiki na ulimwengu wetu wa kawaida.
Walio ndani ya CERN wanafahamu: wanapochochea plasma katika magnetic rings, wanatoa "tone" fulani la vibrational energy, inayolingana na frequency za giza zilizofungwa nyuma ya firmament.
Wengine wanawaita Nephilim. Wengine wanawaita Anunnaki. Wengine Majini.
Lakini ukweli ni huu: wanataka kuwarudisha katika dimension yetu – physical, kwa kupitia portal ya CERN.
“Sayansi isiyo na roho ni uchawi. Na uchawi unaofadhiliwa na serikali ni milango ya mauti.”
“Wapo tayari kufungua milango ambayo hawataweza kuifunga. Na binadamu, kwa ujinga wao, wanashangilia huku giza linainuka.”