Smartkahn
JF-Expert Member
- Jun 22, 2020
- 877
- 1,472
Katika maono haya niliona vinyonga wawili wa rangi ya kijani mmoja mkubwa na mwingine mdogo.
Walikua wanasogeleana na kuanza kupigana taratibu taratibu kama kawaida yao.
Gafra akatokea nyoka wa rangi ya... kitu kama njano au kijani hivi akawagongo(ng'ata) wale vinyonga, kutokana na sumu ya yule nyoka, wote wakaanguka chini na kuishiwa nguvu kabisa.
Yule nyoka akiwa, kando yao akaanza kugeuka rangi ubavuni mwake mithili ya kinyonga, na kuanza kufanana kama wale vinyonga.
Wale vinyoka wakiwa wametepeta pale chini yule nyoka akaanza kuwinda panya... Alimkimbiza panya mmoja wa rangi nyeusi kwa hasira ya hali ya juu na yule panya akapotelea kichakani.
#Pia tarehe 28-10-2025, niliona Raisi akiwa katika nyumba flani hivi mazingira yake ya kawaida,
Alitoa maagizo kwa dobi wake kwamba amfulie nguo zake yule dobi alikua mtiifu lakini yule dobi alipotoka na kuingia uwani ndani ya fensi alishuhudia mlinzi wa nyumba ile akiwa amejaa dharau, jeuri, kiburi na kupuuzia maagizo kutoka kwa raisi, kiasi kwamba siku hiyo aligoma kumsaidia dobi kuteka maji katika kisima.