kuanzia form one mpka form four nilikuwa najua kufunga tai sikuvaa tena sasa baada ya kuwa mtu mzima kwenye vitukio vidogo vidogo nilikuwa naenda youtube kucheki jinsi ya kufunga tai maana nilishasahau hichi kipicha ngoja ni ki print kabisa maana siku nyingine internet inaweza kuzingua nikaumbuka bure, asante