DAVIES KILANGI Senior Member Joined Nov 25, 2018 Posts 174 Reaction score 119 Jun 16, 2019 #1 katika king'amuzi cha startimes kuna channel ya *swahili kuna vipindi vinaandikwa PG na GE, mf kipindi kifuatacho kina kiwango cha PG au GE hivo kinafaa au hakifai kwa watu wenye umri flani, je nini maana ya PG na GE?
katika king'amuzi cha startimes kuna channel ya *swahili kuna vipindi vinaandikwa PG na GE, mf kipindi kifuatacho kina kiwango cha PG au GE hivo kinafaa au hakifai kwa watu wenye umri flani, je nini maana ya PG na GE?